Kwa nini mfumo wa TRA(TANESW) unasumbua mara kwa mara

Kwa nini mfumo wa TRA(TANESW) unasumbua mara kwa mara

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Kama agent wako(wakala wa forodha) akikwambia system inasumbua muelewe tatizo lipo kwa wenye mamlaka wenyewe TRA na ndugu zao Korea.

Swali la kujiuliza system inayo facilitate upate trilioni of money why inakuwa haipo stable what motives behind
 
Ukiona hivyo inawanyima ulaji hivyo inafanyiwa hujuma ili isifanye kazi.

Lakini kwani sisi inatusaidia nini hata ingefanya kazi au ndio tunapata V8 za wanamtandao.
 
Katika ulimwengu ambao kila sekunde inahesabika mfumo unashindwa kufanya kazi zaidi ya lisaa unajua ni hasara na usumbufu wa kiwango gani umesababisha?

Watu wanatukanwa, watu wanapigana, watu wanapoteza wateja sababu ya system yako kutokuwa stable and no one cares unatoa majibu mepesi njoo kesho. Aisee hii nchi ngumu.
 
Naombeni msahada zile auction goods kwenye ule mfumo wa TANESW zinataka uwe na vigezo gani ili uweze kununua bidhaa za mnada maana kila napojalibu kuangalia wap pa kuingia kama individual sipaoni
 
Back
Top Bottom