Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Ungemalizia, hiyo mimama Inawanasa vijana na kuwapatia umeme katika miili yao.Nimefanya tafiti na kugundua mijimama mingi iliyovunja miji huwa inafungua biashara ya grocery .
Hapo ndipo huwa inawanasa vijana wadogo wadogo na hutumia juju kali sana.
βSio sahihi kuwahukumu wanawake waliotengana au kuachika kwa mtazamo mmoja. Kufungua grocery ni biashara halali, na mahusiano ya watu wawili hayawezi kutafsiriwa moja kwa moja kuwa βkunasa vijanaβ au kutumia juju. Kama kuna ushahidi wa tukio fulani, tujadili hilo; vinginevyo tusijenge dhana zinazowadhalilisha watu.βNimefanya tafiti na kugundua mijimama mingi iliyovunja miji huwa inafungua biashara ya grocery .
Hapo ndipo huwa inawanasa vijana wadogo wadogo na hutumia juju kali sana.