Kwa nini mirungi isihalalishwe ikawa zao la biashara?

Kwa nini mirungi isihalalishwe ikawa zao la biashara?

charleslee

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
408
Reaction score
200
Tumeshuhudia juzi kat nchini kenya mirungi ikihalalishwa kama zao la biashara, vp kwa Tanzania na sisi tukihalalisha? ukizingatia tena zao hili ni la thamani sana na litachangia mapato vizuri..

Niambie inapatikana wap kwa wingi

Asante
 
Unataka kuuza ili mtuibie waume zetu.?

Maana nguvu za kiume mkiishiwa ...wat next?
 
Unataka kuuza ili mtuibie waume zetu.?

Maana nguvu za kiume mkiishiwa ...wat next?
Dada,
Sio hiyo tu, iko drug inapatikana ndani ya bangi ambayo iko ndani ya miraa ilithibitishwa na mkemia mkuu Tanzania ndio maana ikapigwa marufuku.
Bangi inavutwa na miraa inatafunwa, nenda Kenya uone akili za wakenya zilivyokaa mbali ya kudondosha hill dudu.
Nchi kuhalalisha bangi unatafuta nini?
 
Most western nations will legalize cannabis in the next ten years as it has been proven to not cause any health or mental problems as earlier believed. The same western nations spear headed the ban of marijuana worldwide 45 years back, lots of propaganda and nil research.

Mairungi has been a cash crop in Kenya for eons now, it has made the Meru community rich, and to date, it is still offered as offerings in church and used for various ailments. like all things, once abused, it has its problems.

It's pros largely outweighs it's cons, it should be considered.
 
Aliyeharamisha mirungi na kuhalalisha pombe na sigara ni punguani wa mwisho duniani.
 
Dini yenu ipi?

Kiislam, huwezi kuharamisha chochote ambacho hakijaharamishwa na Allah. Vilivyoharamishwa vyote viko wazi kabisa.
MNA mambo makubwa na bangi zenu, miraa na pombe hamtafika muafaka sababu wavutaji wamo, wasagaji miraa wamo walevi pia hivi kila mmoja atetea chake.
Hata zile ndoa mbaya wapo watasema haijaharamishwa ni sunah
 
Back
Top Bottom