charleslee
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 408
- 200
Dada,Unataka kuuza ili mtuibie waume zetu.?
Maana nguvu za kiume mkiishiwa ...wat next?
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji22] [emoji27] [emoji27] [emoji85] [emoji85] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Unataka kuuza ili mtuibie waume zetu.?
Maana nguvu za kiume mkiishiwa ...wat next?
Dada,
Sio hiyo tu, iko drug inapatikana ndani ya bangi ambayo iko ndani ya miraa ilithibitishwa na mkemia mkuu Tanzania ndio maana ikapigwa marufuku.
Bangi inavutwa na miraa inatafunwa, nenda Kenya uone akili za wakenya zilivyokaa mbali ya kudondosha hill dudu.
Nchi kuhalalisha bangi unatafuta nini?
Mbn hivyo.... Kwani uongo[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji22] [emoji27] [emoji27] [emoji85] [emoji85] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mbn hivyo.... Kwani uongo
Shkamoo DadaAliyeharamisha mirungi na kuhalalisha pombe na sigara ni ******** wa mwisho duniani.
Kumbe mnajuanaAliyeharamisha mirungi na kuhalalisha pombe na sigara ni punguani wa mwisho duniani.
Shikamoo yako heri ungemsalimia fisiShkamoo Dada
Kwani mirungi kidini yetu ni halal?
Shkamoo Dada
Kwani mirungi kidini yetu ni halal?
MNA mambo makubwa na bangi zenu, miraa na pombe hamtafika muafaka sababu wavutaji wamo, wasagaji miraa wamo walevi pia hivi kila mmoja atetea chake.Dini yenu ipi?
Kiislam, huwezi kuharamisha chochote ambacho hakijaharamishwa na Allah. Vilivyoharamishwa vyote viko wazi kabisa.