Sasa atachaguliwaje kuwa kocha bora wa mwezi wakati hakuna wakushindana nae,waliobaki ndio wanauwezo wa kushindana wenyewe kwa wenyeweUkiangalia takwimu Morinho amebena ubingwa wa epl zikiwa zimesalia mechi tatu, pili ametoa mchezaji bora wa mwaka kwa mujibu wa PFA, na pia timu yake Imetoa wachezaji sita wa msimu. Inakuaje kwa jamaa kutopata tuzo ya kocha bora wa mwezi hata mara moja? Au ndio anasubiri kocha wa mwaka? Hii imekaaje au Morinho ni bora kocha na si kocha bora?
kwa sababu mpira wake unaboa park bus style
Sasa atachaguliwaje kuwa kocha bora wa mwezi wakati hakuna wakushindana nae,waliobaki ndio wanauwezo wa kushindana wenyewe kwa wenyewe
Duuu hili jibu poor kabisa? Kwa taarifa yako Morinho kafundisha epl kawa kocha bora kwa mara 3 katika mechi zaidi ya 200, kifupi yule jamaa ni bora kocha
Kwani ni lazima? Au hamna makocha wengine.
Vigezo na masharti kuzingatiwa, ikitokea kuna mwezi akaperform vizuri atapewa na kama msimu mzima in general amefanya vizuri atapewa kama kocha wa msimu usilazimishe mambo.