Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Ndugu madaktari wa humu jamvini naomba mnisaidie nipate kuelewa kuwa ' Kwanini mtoto wa kiume anaruhusiwa kuanza kukalishwa chini akiwa na miezi 4 wakati yule wa kike ni miezi mitatu 3?' Sababu ninini?