Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
KWA NINI MTOTO WA NJE HAPASWI KURITHI MALI ZA BABA YAKE?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mada hii wengi Watu wengi wamecharuka kîla mmoja akionyesha Hisia Zake huku Wengine wakishindwa kuzitawala Hisia hizo.
Wengine wanasema, oooh! Mtoto NI Mtoto. Wengine oooh! Hiyo siô Haki kwani Mtoto anakosa gàni?
Watoto wanatofautiana. Mtoto hawezi kuwa Mtoto kwèñye baadhi ya ishu hasa ishu za HAKI za kimajukumu na Wajibu.
Hata Watoto wazaliwe mapacha wanaofanana Kabisa bado Watoto hao hawawezi kuwa Sawa katika mizania ya HAKI.
Ielewekwe kuwa Mtoto anaweza kuwa w ndàni ya Ndoa lakini akawa Mtoto WA nje kidamu lakini pia kiwajibu.
Mfano Mtoto anaweza kuwa kazaliwa ndàni ya ndoa lakini kumbe alibambikwa. Au Mtoto anaweza kuwa WA ndàni ya Ndoa na damu kweli lakini tabia zake mbaya zikamfanya Baba yake amuone kama mtoto wa nje tuu.
Mosi,
Kûna Haki ya mzaliwa wa Kwanza hata kama Watoto wangezaliwa mapacha. Yule Mkubwa anahaki zinazomtofautisha na Mwingine.
Hivyo hata kama Watoto wamezaliwa kwèñye Ndoa bado Haki zào haziwezi kuwa zinalingana. Mtoto Mkubwa hupewa Nafasi na hadhi ya juu tofauti na ndugu Zake.
Pili,
Jinsia, Mtoto wa Kiume Haki Zake haziwezi Kulingana Sawa na Mtoto wa Kike kutokana na wajibu na majukumu yanayomtofautisha Mwanaume na Mwanamke.
Hivyo hata kwèñye Ndoa Watoto wa Kiume wanahaki zaidi kuliko Watoto wa Kike.
Mtoto wakiume ndiye atabeba utambulisho wa ûkoo na yeye atakuwa na wajibu wa Kulinda ûkoo ikiwemo Dada Zake àmbao wataolewa, hata wakifukuzwa Huko Kaka ndiye anaowajibu wa kuhakikisha Dada Zake wanaendelea kuwa Mahali salama.
Mtoto wa Kike anayohaki ya kupewa Urithi lakini usiwe Sawa na ndugu Zake wakiume.
Mathalani ikiwa Baba anawatoto wanne, wakiume wawili, wakike wawili. Alafu Mzee anamali Zenye thamani ya Tsh 100. Basi Watoto wakiume watagawana 70% huku Watoto wakike wakichukua 30.
Hata hivyo kwèñye hiyo 70 ya Wanaume Mtoto wa Kwanza atachukua zaidi ya Watoto Wengine wakiume.
Nyumba ya familia au ya ûkoo itachukuliwa na Mtoto wa Kwanza wakiume.
Sharti kûbwa Kwa Watoto wakiume àmbalo wataachiwa na Wazazi waô ni kuangalia Dada zào.
Kûna Watoto wa Aina Tatu:
1. Watoto damu Moja waliozaliwa kwèñye Ndoa
2. Watoto damu Moja lakini hawajazaliwa kwèñye Ndoa.
3. Watoto wasiodamu Moja lakini wamefanywa Watoto Kisheria, Kwa kuwa adapt.
Mtoto yeyote atakuwa na Haki ya Kurithi Mali za Baba yake Ikiwa;
1. Wosia umemtaja.
2. Ikiwa alizaliwa kwèñye Ndoa.
3. Ikiwa amefanyiwa adaptation
Kuwa Damu Moja au kumzaa Mtoto siô Kigezo pekee ambacho kitamfanya Mtoto awe na Haki ya kupewa Urithi Kutoka Kwa Baba yake.
Hivyo Mtoto anaweza kuwa amezaliwa kwèñye Ndoa lakini pia anaweza kukosa Haki ya kupewa Urithi kutoka Kwa Babaake.
Hivyo wale wanaosema Mtoto NI Mtoto hiyo Haina maana yoyote linapokuja sula la HAKI.
Mtoto anaweza Kushindwa kutimiza wajibu wake kama Mtoto Kwa Mzazi au Kwa kutofuata maelekezo ya Babaake na ikawa sababu ya yeye kutokuwekwa kwèñye Urithi.
Na NI HAKI Kwa Baba kufanya hivyo kama ilivyo Haki Kwa Mtoto kukataa kumhudumia Baba yake Ikiwa ataona siô wajibu wake kufanya hivyo.
Baba anayohaki ya kutokutoa Urithi Kwa Watoto wa Ndoa Ikiwa Watoto wataungana na Mama yao kumtesa na kumkera Baba Yao. Bila kujali Matokeo Baba atakuwa na haki ya kuwarithisha Watu Wengine Mali Zake(zile alizozitolea jasho) Ikiwa ataona hivyo.
Ikiwa Mama na Baadhi ya Watoto wakapanga njama ya kumuua Baba ili warithi Mali automatically hawatakuwa na Haki ya Kurithi Mali za huyo Mzee hata Kama waliandikwa kwèñye Wosia.
Mtoto wa Nje hatarithi Mali za Baba yake isipokuwa zawadi Ikiwa Mtoto huyo hatakuwa akiishi katika himaya ya Baba yake. Yaani akilelewa na Mama yake au upande wa Mamaake hatakuwa na Haki ya Kurithi Mali za Babaake.
Hivyo NI wajibu wa Mama kuhakikisha mtoto anapofikisha Umri WA kuweza kuzungumza na kuongea Kwa ufasaha kumpeleka Kwa Baba yake. Ikiwa Mtoto atakuwa na changamoto ya kuongea kama ububu au kigugumizi Basi Mtoto huyo angalau afikishe Miaka isiyozidi Saba ñdipo apelekwe Kwa Baba yake.
Mtoto wa nje àmbaye atazaliwa baàda ya Ndoa. Yaani Mume na Mke wameshaingia ndoani, wakazaa Watoto Kisha Mume akazaa na Mwanamke Mwingine akiwa ndàni ya Ndoa yake bàsi Watoto wôte watakaopatikana katika mazîngira ya namna hiyo, hawatakuwa na HAKI Sawa na Watoto waliopatikana kwèñye Ndoa.
Kwèñye Urithi watapewa Robo ya kile watakachopewa Watoto wa Ndoa.Mfano, Ikiwa Watoto wa Ndoa wakarithi Milioni Moja kîla mmoja Basi Mtoto WA nje aliyepatikana baàda ya Ndoa apewe Laki Mbili unusu
Watoto wa nje ya Ndoa waliopatikana Kwa namna hiyo hawatakuwa na HAKI ya kuhesabiwa katika Mali zisizohamishika kama mashamba, viwanja, Nyumba n.k.
Ikiwa Mke atafanya Kosa linalomstahili kupewa talaka. Mathalani, akafanya zinaa na Mwanaume Mwingine, akashikwa, akafukuzwa, atapewa Mali Zake zote alizokuja nazo na zile alizochuma yeye kama yeye na Wala haitakuwa Haki yake kuchukua Mali yoyote isiyo Yake Kwa kisingizio chochote Kile. Pia ataondoka na Mali Ambazo Mumewe Kwa hiyari Yake ataamua kumpatia na tangu Siku hiyo àmbayo Mumewe atampatia zitakuwa Mali Zake Halali.
Mali zozote alizopewa na Mumewe Wakati wakiwa ndoani hazitakuwa Zake hata kama ziliandikwa Kwa Majina yake. Na atatakiwa aziache, labda Kwa hiyari ya Mumewe akiona ampatie. Ikiwa atang'ang'ania kuondoka na Watoto Kwa Sababu naye anahaki hiyo Kwani NI Watoto wake pia.
Basi Watoto wataulizwa Kwa hiyari Yao wachague wataenda upande upi. Watoto watakaoulizwa ni wale walionyesha kujitambua Kuanzia Umri WA Miaka 10. Watoto waambiwe Ukweli wôte kuwa upande watakaouchagua ndîo utakuwa na Haki zaidi juu Yao nao watakuwa na Haki zaidi juu ya upande huo Kuliko upande walioukataa.
Mathalani, Ikiwa Mtoto atachagua kubaki Kwa Baba Basi atakuwa na Haki zote Kwa upande huo na upande huo utakuwa na wajibu Mkubwa Kwa Mtoto huyo ikiwemo Haki za Kurithi.
Mtoto àmbaye hakumchagua Baba yake hatakuwa na HAKI ya Kurithi Vitu au Mali za Baba yake. Kama ilivyo mtoto àmbaye hakumchagua Mama yake hatakuwa na HAKI zozote Kwa Mamaye na upande wa Mamaye.
Hii inaumiza lakini pia ni sehemu ya kuonyesha matokeo ya Usaliti na ku-cheat yawe bayana ili Watu wasifurahie uzinzi.
Watoto hao watakapouliza Kwa nini waô wanapewa Kwa hesabu waambiwe Ukweli wôte na Wala wasifichwe.
Ikiwa watachukia badala ya kujifunza wasirudie Makosa kama Wazazi waô, Wala msiogopeshwe Wala kuwaonea huruma na hali hiyo.
NI jukumu la Mwanamke kuhakikisha na kujihakikishia kuwa mwanaume anayeenda Kulala naye NI Mume wake.
Ikiwa, ataoa mwanamke Mwingine Kwa makusudi Bila ruhusa ya Mkewe, atawajibika kugawa nusu ya Mali yake yôte Nusu Kwa Nusu na Mkewe wa awali,
Mfano kama Mali za Mwanaume, nazungumzia jasho la mwanaume pekee ni Milioni ishirini pekee. Mwanaume huyo akaoa Mwanamke Mwingine kimagumashi au kimakusudi au kijeuri Basi Mkewe atapewa nusu ya Mali yôte ya mwanaume yàani Milioni 10. Ikiwemo Nyumba wanayoishi Muda huo kama ni Nyumba Yao.
Ikiwa Mke ndiye alitengeneza mazîngira ya kumfanya Mumewe aoe Mke Mwingine kama kumnyima unyumba, kutomhudumia, na kumnyanyasa Basi mwanaume hatatakiwa Kuoa isipokuwa Kumpa talaka Kwa za Mkewe wa Kwanza ñdipo Aoe Mke Mwingine.
Hivyo ndivyo Watibeli tunavyofanya mambo yetu
Mimi Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam