Kwa nini Mtoto wa nje hapaswi Kurithi Mali za Baba yake?

Za kimila na nchi pia
Za nchi zinawatambua watoto wa nje kama wanatambuliwa na baba zao kwa kuwachukulia vyeti vya kuzaliwa vyenye majina ya wazazi ya baba hao.
Uliza wanasheria watakwambia.
 
Umeandika mambo mengi lakini yamekosa maana kwa sababu hujasema umeyatoa wapi!

Hayo uliyoandika ni kwa mujibu wa mila, dini, sheria za nchi au ni maoni yako mwenyewe?
 
Kanuni za urithi:
1. Mtoto hurithi mali za baba yake tu.
2. Mtoto wa kambo hana urithi
3. Urithi haubagui, mtoto wa kiume na wa kike wote Wana haki sawa ya urithi.
4. Baba anayo haki ya kuwanyima urithi watoto wake

Kanuni za urithi:
1. Mtoto hurithi mali za baba yake tu.
2. Mtoto wa kambo hana urithi
3. Urithi haubagui, mtoto wa kiume na wa kike wote Wana haki sawa ya urithi.
4. Baba anayo haki ya kuwanyima urithi watoto wake wote.
Mkuu hapo namba 3 kwenye sheria za Kimira baadhi ya Makabila mtoto wakike hapati urithi je huyo mtoto ana weza kwenda Mahakamani kifungua kesi ya mirathi na akapata urithi wake?
 
Mamba ya urithi yapo kisheria , misimamo binafsi haiwezi kuathiri sheria za nchi kwa namna yoyote.
Kuna sehemu busara zinahitajika sana kwenye haya mambo,nimeshaona mtoto wa nje ya ndoa ndio msaada mkubwa kwa mzee wake lakini akifa huyu mzee bado hastahili kupata haki sawa na wenzake??
 
Habari za mtoto wa nje zipo katika jamii ambazo sio civilized.

Mtoto ni mtoto anabidi kuwa benefited na kile alichonacho baba yake au mama yake.

Kumnyima mtoto wa nje Mali na kuwapa wengine hiyo inakuwa sio sahihi.
Upo sahihi mkuu ni ubaguzi wa kipumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…