[emoji848][emoji848]
Mimi wa 3 siyaoni hayo..wa kwanza na pili sawa
Kwa hiyo nyie wote wa watatu...mnaonaje mkaungana....Mimi wa 3 sioni kama napendwa au la
Kuungana tutengeneze sita au?Kwa hiyo nyie wote wa watatu...mnaonaje mkaungana....
Ndugu mjumbe nani alikuambia katibu anajibiwa hivi!....ooooh shaurio nitamwachia muweza.Kuungana tutengeneze sita au?
[emoji106][emoji106][emoji106]Hana neno kwenye hili ilimradi tu katibu nikishatoa go on...tayari mnaanza kuenjoy neema zote.
Kumradhi katibuNdugu mjumbe nani alikuambia katibu anajibiwa hivi!....ooooh shaurio nitamwachia muweza.