Kwa nini mtoto wa pili na watatu wanapendwa na wazazi kuliko wa kwanza na wanne.??

Kwa nini mtoto wa pili na watatu wanapendwa na wazazi kuliko wa kwanza na wanne.??

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,888
nimeikuta sehemu sijui kuna ukweli ipo hivi

familia ikwa na mtoto mmoja, basi huyo huyo ndo atapendwa na wazazi
familia ikiwa na watoto wawili wazazi watampenda wa pili kuliko wa kwanza hasa wakiwa wamepishana umri
familia ikiwa na watatu wawili wa mwisho ndo watapendwa
na ikiwa na watoto wa nne basi wa pili na watatu ndo watapendwa zaidi

swali ni kwa nini wazazi hawawapendi sana mtoto wa kwanza au kulingana na mchanga nuo hapo juu
 
Kwa wababa mtoto wa kwanza kuna uwezekano mkubwa wife akachakachua ila wa pili na watatu ni uhakika kuwa ni wako, ila baada ya hapo mambo mengi hutokea,
 
Kuna ukweli kabisa mimi magati lakini napendwa mpaka basi, Yani napendelewa hadi wenzangu wanastukia
 
Back
Top Bottom