nimeikuta sehemu sijui kuna ukweli ipo hivi
familia ikwa na mtoto mmoja, basi huyo huyo ndo atapendwa na wazazi
familia ikiwa na watoto wawili wazazi watampenda wa pili kuliko wa kwanza hasa wakiwa wamepishana umri
familia ikiwa na watatu wawili wa mwisho ndo watapendwa
na ikiwa na watoto wa nne basi wa pili na watatu ndo watapendwa zaidi
swali ni kwa nini wazazi hawawapendi sana mtoto wa kwanza au kulingana na mchanga nuo hapo juu
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumradhi katibu
Dodo chini ya mwembe
Nakazia hoja.Hapo hapo kwenye "si" hapo nasimamiaSi kweli
Mleta mada ashapelekwa Mirembe au bado anazurura mitaani?Hana neno kwenye hili ilimradi tu katibu nikishatoa go on...tayari mnaanza kuenjoy neema zote.
Amemaliza makopo yote ya Kariakoo. HahaMleta mada ashapelekwa Mirembe au bado anazurura mitaani?