BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Huu utafiti wako uliufanya kwa muda gani? Na ukubwa wa sample yako uliokuwezesha kufikia hitimisho hili ulikuwa vipi!?
nimeikuta sehemu sijui kuna ukweli ipo hivi
familia ikwa na mtoto mmoja, basi huyo huyo ndo atapendwa na wazazi
familia ikiwa na watoto wawili wazazi watampenda wa pili kuliko wa kwanza hasa wakiwa wamepishana umri
familia ikiwa na watatu wawili wa mwisho ndo watapendwa
na ikiwa na watoto wa nne basi wa pili na watatu ndo watapendwa zaidi
swali ni kwa nini wazazi hawawapendi sana mtoto wa kwanza au kulingana na mchanga nuo hapo juu