Kwa nini mtu akistaafu, atasema anaenda kulima au kufuga?

Kwa nini mtu akistaafu, atasema anaenda kulima au kufuga?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kwa nini hataji shughuli zingine, kama kuendesha shughuli za kiwanda, kusimamia biashara na zinginezo?

Au kilimo na ufugaji cha uzeeni kinalipa zaidi kuliko kile ambacho utawekeza nguvu ujanani?

Mimi nipo tayari kijijini, njooni tulime na kufuga; ila ujiandae kuota sugu mikononi.​
 
Kukodi/kununua shamba na kuanza kulima ni jambo rahisi kuliko kufungua kiwanda maana hapo utafatwa na halmashauri,tra mara Brela mara osha..na wastaafu wengi wanapenda kupumzika hawataki hekaheka.
Inawezekana ikawa sababu
 
Ukishastaafu nikula pension tu na kutubia maovu yako,..kwanza kilimo na ufugaji stress hamna..viwanda na biashara mwisho wakafa mapema tu na shinikizo la damu
 
Back
Top Bottom