Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Umaarufu na kupendwa sana kwa muziki wa Congo(DRC) imetokana na nini wakati hata raia wa nchi hii hasa wapenzi wa huo muziki hata hawajui lugha za Kifaransa, Kikongo au Kilingala?
Amapiano japo huwa hakijulikani nini huwa kinaimbwa ila naweza kuelewa unapendwa labda kwa sababu ya makelele yake na jinsi vijana wanavyocheza kwa kukata mauno sana na kurukaruka kwa hiyo labda unaweza kusema una vibe kubwa, ila upenzi wa muziki wa Congo kwa wabongo sijawahi kuelewa umetokana na nini hasa.