Sio kuucheza tu hata kuusikiliza. Na sio mziki wa Congo tu. Kuna miziki ya Benin, Cote d'Ivoire, Cuba, Nigeria n.k. inatuvutia sana wapenzi wa miziki. Mimi binafsi nasikiliza sana instrumental music hasa contemporary jazz za kina Santana, n.k. Hakuna maneno bali ni beats, rythm, na melodies zinazokufanya ujisikie unaelea mawinguni.Umaarufu na kupendwa sana kwa muziki wa Congo(DRC) imetokana na nini wakati hata raia wa nchi hii hasa wapenzi wa huo muziki hata hawajui lugha za Kifaransa, Kikongo au Kilingala?
Amapiano japo huwa hakijulikani nini huwa kinaimbwa ila naweza kuelewa unapendwa labda kwa sababu ya makelele yake na jinsi vijana wanavyocheza kwa kukata mauno sana na kurukaruka kwa hiyo labda unaweza kusema una vibe kubwa, ila upenzi wa muziki wa Congo kwa wabongo sijawahi kuelewa umetokana na nini hasa.
Sikiliza antente, une minute, a flye, sikiliza asocie, sikiliza mayday, sikiliza, Fatimata, sikiliza rail on, wewe ngoma Zina melody kali sana rhumba za kwendaUmaarufu na kupendwa sana kwa muziki wa Congo(DRC) imetokana na nini wakati hata raia wa nchi hii hasa wapenzi wa huo muziki hata hawajui lugha za Kifaransa, Kikongo au Kilingala?
Amapiano japo huwa hakijulikani nini huwa kinaimbwa ila naweza kuelewa unapendwa labda kwa sababu ya makelele yake na jinsi vijana wanavyocheza kwa kukata mauno sana na kurukaruka kwa hiyo labda unaweza kusema una vibe kubwa, ila upenzi wa muziki wa Congo kwa wabongo sijawahi kuelewa umetokana na nini hasa.
Naona unaandika huku una-drive, angalia usisababishe ajali.Hata Caneroon, Niger, muziki a Congo unaoendwa sana.
Kumekuwa na nuingiliano wa wa Congo na watanzania kwa muda mrefu,kuna wacongo na wananyema wengi sana nchini,wanamuziki wacongo wake wa average kyke jwao hawana soko ila wakikuja nchini na kuanziaha bendi na kuyeka akili zetu tukaamini muziki wao ndio bora,nguza viking, shem kalenga,king kiki,remmy ongala,kabeya badu,ilunga banza mchafu,Asosa,Makassy nk
Abdala makassySio kuucheza tu hata kuusikiliza. Na sio mziki wa Congo tu. Kuna miziki ya Benin, Cote d'Ivoire, Cuba, Nigeria n.k. inatuvutia sana wapenzi wa miziki. Mimi binafsi nasikiliza sana instrumental music hasa contemporary jazz za kina Santana, n.k. Hakuna maneno bali ni beats, rythm, na melodies zinazokufanya ujisikie unaelea mawinguni.
Usichanganye muziki na mashairi. Muziki una lugha yake ambayo ni universal. Wasikilize Beethoveny na Mozart halafu jiulize ukuu wa miziki yao ulipimwaje bila maneno.
Sir, you need to have an ear for music to understand the musical phenomenon. Words are nothing here.
Kwa sababu hauna MASHARTI kupiga ni rahisi....wewe piga kilichopo kichwani ilimradi KINOGE.Umaarufu na kupendwa sana kwa muziki wa Congo(DRC) imetokana na nini wakati hata raia wa nchi hii hasa wapenzi wa huo muziki hata hawajui lugha za Kifaransa, Kikongo au Kilingala?
Amapiano japo huwa hakijulikani nini huwa kinaimbwa ila naweza kuelewa unapendwa labda kwa sababu ya makelele yake na jinsi vijana wanavyocheza kwa kukata mauno sana na kurukaruka kwa hiyo labda unaweza kusema una vibe kubwa, ila upenzi wa muziki wa Congo kwa wabongo sijawahi kuelewa umetokana na nini hasa.
Wewe rhumba hulijui utamu wake achana kabisa na hiyo kituUmaarufu na kupendwa sana kwa muziki wa Congo(DRC) imetokana na nini wakati hata raia wa nchi hii hasa wapenzi wa huo muziki hata hawajui lugha za Kifaransa, Kikongo au Kilingala?
Amapiano japo huwa hakijulikani nini huwa kinaimbwa ila naweza kuelewa unapendwa labda kwa sababu ya makelele yake na jinsi vijana wanavyocheza kwa kukata mauno sana na kurukaruka kwa hiyo labda unaweza kusema una vibe kubwa, ila upenzi wa muziki wa Congo kwa wabongo sijawahi kuelewa umetokana na nini hasa.
Baada ya Tanzania kufirisika, ninaenda Nairobi, Luanda na Lusaka kufuata live za CongoUmaarufu na kupendwa sana kwa muziki wa Congo(DRC) imetokana na nini wakati hata raia wa nchi hii hasa wapenzi wa huo muziki hata hawajui lugha za Kifaransa, Kikongo au Kilingala?