Kwa Nini Mwafrika Hana Maajabu kokote aendako? Kifo cha Ndoto ya South Afrika kutoka Nuru ya Bara mpaka kuwa taifa linaloenda kufeli

Wakati kina Nikola Tesla wanahangaika kugundua umeme ndio kwanza akili za waafrika zilikuwa kwenye ujima kuwasha moto 🔥 kwa kupekecha ulindi na ulimbombo.

Halafu leo hii kweli tutegemee akili za waafrika ziwazidi wazungu!!
min -me umeona hii post hivi ndio watu weusi tulivyo too much self hate huwezi kukuta mchina au mwarabu anaizungumzia vibaya race yake km iv ...huyu @infopreneur anatamani angezaliwa mzungu anajichukia vibaya sana kuzaliwa mtu mweusi
 
Sidhani kama ni kweli kuwa Waafrika hatuna akili, ila hatuna uzalendo wa kuipambana jamii yetu ila matumbo yetu.

Kwa ufupi kabisa ni kwamba Afrika hatuna viongozi wazalendo wanaoweza kutuvusha katika mkwamo huu. Na baadhi wanaojaribu kujitokeza kuonyesha tatizo letu Afrika, wanadhibitiwa kwa msaada wa nguvu tokea nje pia.
 
min -me umeona hii post hivi ndio watu weusi tulivyo too much self hate huwezi kukuta mchina au mwarabu anaizungumzia vibaya race yake km iv ...huyu @infopreneur anatamani angezaliwa mzungu anajichukia vibaya sana kuzaliwa mtu mweusi
Africa hatuna viongozi wakutufanya tubadilishe mtazamo wetu zaidi ya wachumia tumbo tu.
 
Na kadri miaka inavyozidi kwenda naona ndio na akili zetu zinazidi kudumaa zaidi. 😐
Kina Isaac Newton walioishi karne ya 17 walikuwa na akili za kuvumbua laws mbalimbali za kifizikia zinazotumika hadi leo hii kwenye nyanja za kimaisha.

Wakati huo akili za waafrika zilikuwa kwenye kula wadudu, mizizi, matunda na kuishi maporini kama wanyama.

Tukubali tusikubali, Mzungu ana akili kuliko mwafrika.

Na mzungu ataendelea kuwa na akili kuliko mwafrika.
 
Aaah ndugu yangu...... Yaani mpaka kumantain gridi ya taifa kwa taifa lenye uchumi wa viwanda nayo changamoto?
Yaani kile kinachoendesha uchumi wa taifa lenu mnashindwa kukitumza mtakuja kuweza nini?
Mara ya mwisho umeskia lini tatizo la umeme south africa? Hyo ilikuwa ni changamoto ambayo ishapatiwa ufumbuzi ...unaongelea habari ya 2022 leo hii? Ndio maana nahisi huu uzi wako umeuleta kwa sababu za self hate
 
South africa viongozi weusi walirithi nchi ikiwa tayari ina changamoto kibao hayo unayaona ni matokeo ya hizo changamoto...ninachoona hapa unacheza race card kuonyesha kwamba wazungu walikuwa perfect ingawa ukwelisio huo.
Mkuu unajaribu kututetea waafrica ila ukifuatilia zaidi utaona haifai hata kututetea.
Na kadri miaka inavyozidi kwenda naona ndio na akili zetu zinazidi kudumaa zaidi. 😐
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
min -me umeona hii post hivi ndio watu weusi tulivyo too much self hate huwezi kukuta mchina au mwarabu anaizungumzia vibaya race yake km iv ...huyu @infopreneur anatamani angezaliwa mzungu anajichukia vibaya sana kuzaliwa mtu mweusi
Mimi huwa siendeshwi kwa feelings na emotions.

Mimi nakwenda kwa logic na facts.

Mimi ni mwafrika mweusi, Lakini ukweli lazima usemwe.

Ukitumia emotions na feelings, Utaona kwamba mimi najichukia na kujinyanyapaa.

Lakini ukitumia logic na reasoning utaona kwamba waafrika tuna shida kubwa sana akilini.

Uchumi wa United Arab Emirates(UAE) na Tanzania ulikuwa almost the same kwanzia miaka ya tisini mpaka elfu mbili mwanzoni.

Lakini leo hii Tanzania anaenda kuomba misaada kwa UAE.

Sasa huu kama sio upumbavu wa waafrika ni nini?

Halafu ndio unataka niseme kwamba tuna akili?

Seriously!!!
 
Mara ya mwisho umeskia lini tatizo la umeme south africa? Hyo ilikuwa ni changamoto ambayo ishapatiwa ufumbuzi ...unaongelea habari ya 2022 leo hii? Ndio maana nahisi huu uzi wako umeuleta kwa sababu za self hate
Takwimu zinaonesha ni takribani miezi 9 hili tatizo wametatua ila historia inaonesha Hali kama hii sio mara ya kwanza na kwa measures zilizopo uwezekano wa kujirudia mkubwa (sisi huku si unaona kila siku yale yale)
Ishu ni kwamba huwezi kuwa na taifa ambalo linazalisha megawatt 60,000 kwa mwaka na ukajidekeza mpaka ikatokea situation ya mgao
 
Ndio maana Chizi Maarifa anatamani Babu yake angechukuliwa utumwani Amerika. Angepata bahati ya kuzaliwa Amerika.

Kuzaliwa Afrika tu ni shida sana.

Na ukitaka kuthibitisha kwamba kuzaliwa Afrika tu ni changamoto fuatilia kile kisa cha dogo wa kigoma aliyeibuliwa na mwandishi wa Millard Ayo.

Once you are born in Africa life is automatically leading you 1-0.

 
Huu uzi watu wanajichukia balaa
Sio kujichukia lazima ukweli usemwe ili upime kama kweli akili za waafrika zinafanya kazi.

Haiwezekani tuna miaka karibu 60 ya kujitawala wenyewe lakini hakuna tuwezacho zaidi ya wizi, ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.

Hii ni akili au matope?

Kubali usikubali, Mwafrika hana uwezo hata wa kujiongoza mwenyewe.
 
OBAMA NI BIBI YAKO
 
Logic na fact zinapimwa kwa vitu vingi tu! Na sio akili pekee yake. Leo hii ukienda vyuo vya ulaya na marekani vipanga wanaongoza darasani ni waafrica waliopata scholarship kutoka africa. Hata uingereza familia inayoongoza kuwa na IQ ni waafika kutoka nigeria.

Unazungumzia middle east kuwa sawa na Tanzania kiuchumi miaka ya nyuma! Unachoshindwa kuelewa ni kuwa middle east kuwa hapo walipo leo sio suala la akili zao tu. Bali back up waliyonayo kutoka kwa most powerful nation in the world kwa sababu wamewawazesha kupata fair price ya rasilimali yao since day one.

Ni bunduki na mabomu za marekani ndio zimewawezesha kuwepo walipo na sio kwamba wana akili sana ndio maana huko middle east kuna nchi zina mafuta na bado ni shithole country

Halafu suala la mafanikio ni mlolongo wa vitu vingi sana ...kwa mfano we mwenyewe hapo hujawahi kusoma na mtu shuleni ana akili sana mwisho wa siku akawa na maisha mabovu? Halafu aliekuwa na akili za wastani akaja kufanikiwa kwenye maisha?
 
Hao waafrika waliozaliwa Marekani nao wamefanya nini? Ni failures huko kama tulivyofeli huku
Mwafrika hata awe America, Ulaya, Australia, Asia, Caribbean hana mchango wowote zaidi ya uharibifu.

Watu weusi tuna upumbavu wa milele.

Mtu mweusi ndio anaongoza kwa kuteseka hapa duniani.

Na hii yote ni kwa sababu ya kusalitiana sisi kwa sisi.

Hata wakati wa utumwa na ukoloni, Machief waliwasaliti watu wao na kuwauza kwa wazungu wakidanganywa kwa vizawadi uchwara.

Ujinga wa watu weusi upo tangu enzi na enzi.
 
South africa viongozi weusi walirithi nchi ikiwa tayari ina changamoto kibao hayo unayaona ni matokeo ya hizo changamoto...ninachoona hapa unacheza race card kuonyesha kwamba wazungu walikuwa perfect ingawa ukwelisio huo.
Wametatua changamoto zipi kati ya walizozikuta?
Moja ya tabia mbaya ni kutokubali kuwajibika na kuacha kuweka visingizio kwenye kila jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…