Kwa Nini Mwafrika Hana Maajabu kokote aendako? Kifo cha Ndoto ya South Afrika kutoka Nuru ya Bara mpaka kuwa taifa linaloenda kufeli

IQ ya mwafrika Ina matatizo. Kuibadilisha ni kupeleka vijana kwenye mataifa yenye IQ kubwa
 

Attachments

  • global-iq-map-v0-w1373058zlwd1.jpeg
    106.2 KB · Views: 2
Hao waafrika waliozaliwa Marekani nao wamefanya nini? Ni failures huko kama tulivyofeli huku
Self hate ndio inaowasumbua hamna jingine...mbona kuna watu weusi tu waliofanikiwa marekani? Mpaka kufikia status za ubilionea licha ya ubaguzi? Wote hao hamuwaoni ila mnaowaona ni wauza madawa ya kulevya na walioko jela si ndio?
 
Hao waafrika kwa nini walilazimika kwenda ulaya na Amerika?

Kwa nini hawakubaki Afrika kuendelea na elimu za kiafrika?

Huoni kwamba elimu za wazungu ndio bora zaidi ndio maana hata hao waafrika walienda huko?

Na bado hata leo hii wanafunzi wengi wa kiafrika wanapambana kutafuta scholarships kwenda ulaya na Amerika.
Sisi tuna rasilimali za kutosha pia, Mbona hatupati hizo fair price?
Kubali usikubali, Waafrika tuna matatizo makubwa sana ya akili.
 
Self hate ndio inaowasumbua hamna jingine...mbona kuna watu weusi tu waliofanikiwa marekani? Mpaka kufikia status za ubilionea licha ya ubaguzi? Wote hao hamuwaoni ila mnaowaona ni wauza madawa ya kulevya na walioko jela si ndio?
Tuna angalia the majority not minority.
 
South africa viongozi weusi walirithi nchi ikiwa tayari ina changamoto kibao hayo unayaona ni matokeo ya hizo changamoto...ninachoona hapa unacheza race card kuonyesha kwamba wazungu walikuwa perfect ingawa ukwelisio huo.
Huu utetezi ni kichaka Cha waafrica, nchi gani hazina changamoto? Watu weusi tuna shida ya character!
 
Hao waafrika kwa nini walilazimika kwenda ulaya na Amerika?

Kwa nini hawakubaki Afrika kuendelea na elimu za kiafrika?

Huoni kwamba elimu za wazungu ndio bora zaidi ndio maana hata hao waafrika walienda huko?
Huwezi kuwapangia watu sehemu za kwenda kila mtu ana sababu zake za kwenda kusoma sehemu flani ndio maana wengine wanaenda kenya uganda south africa china na india na wote hawa wanaoenda nchi nyingine tofauti na ulaya na marekani hamuwaoni na kuna uwezekano wakawa wengi kuliko wanaoenda kwenye izo nchi za wazungu...
 
Sisi tuna rasilimali za kutosha pia, Mbona hatupati hizo fair price
Ntakupa mfano miaka ya 80 zambia alikuwa ndio mzalishaji mkubwa wa copper duniani na uchumi wao ulikuwa mkubwa kuzidi hata baadhi ya nchi za ulaya ikiwemo ureno. Unajua kilichokuja kutokea? Bei ya copper ilishushwa makusudi na watawala wa dunia within few years zambia ikarudi kuwa shithole country ..sasa hujuma kama iz huchangia kuziyumbisha nchi nyingi kiuchumi ila nyie kwa kuwa mnamuona mtu mweupe ni mtu special hamuwezi kukubali hili
 
Huko wanaenda kama mbadala tu.

Ukitaka kuthibitisha hilo angalia waiting list ya wanaoomba viza kwenye balozi za nchi za ulaya na Amerika.

Kupata viza ya nchi za ulaya na Amerika utasubiri karibu miezi. Kutokana na msururu wa waombaji.

Ila viza za China au nchi za Asia ni chapu tu.
 
Afrika Kusini sasa ni kielelezo cha kuporomoka kwa mataifa ya Kiafrika yenye maliasili nyingi lakini yasiyo na mwanga wa maendeleo.

Watu weusi ni wachache sana ile dhana ya kujitegemea kama kundi wanaiweza. Ndiyo maana anataka kuiibia nchi yake. Hata ngazi ya familia mmoja wao akifanikiwa na kutaka kuvuta wenzake kama jamii wafanikiwe baada ya muda wataanza kuibiana, visingizio vingi tutatumika kama kundi kwa mafanikio mpaka hili utaona mmoja mmoja wanajitoa kurudi kwenye ngazi ya familia ya mke na mume huku ukoo, kijiji, wilaya, mkoa na nchi wanaitupa mkono. Hilo ndilo tatizo la mweusi umimi.

Orania kijiji cha mfano Afrika ya Kusini cha wazungu 3,000 wameamua kujiendeleza kama jamii. Watu 3,000 tunaweza sema ni tarafa moja kubwa. Na wanasema kujitegemea kwa jamii hiyo ya Orania ya wazungu wanaojitbua kama Afrikanaas ndiyo dhana muhimu kazi kwa bidii, uaminifu, kutunza utamaduni na utambulisho wao. Sasa youtube aeronautical engineer Wode Maya mweusi kutoka Ghana amewatembelea

View: https://m.youtube.com/watch?v=uSRZFNnaWGc
Pamoja ya kusoma uinjinia wa ndege China katika chuo kikuu na kutembea nchi kibao, maswali yake kwa wazungu hao waafrika wa Afrika ya kusini yamekaa kilugaluga (watu pori walugaluga)

Wode Maya anashangaa jamii ya wa Afrikanaa (wazungu) kujitambua kama kikundi (kabila, kuweka na kukopa n.k). Anaona kundi lolote la watu wakijikusanya kutafuta maendeleo ni ubaguzi, mtizamo wake Wode Maya youtuber msomi maarufu duniani ni mitizamo ya waafrika wengi weusi tena wale waliobahatika kusoma elimu za juu na kutembea nchi mbalimbali lakini wamebaki kuwa walugaluga (watu pori) kifikra katika bongo zao.

Na bahati mbaya walugaluga hawa wasomi ndiyo wabunge, madiwani, wenyeviti wa Halmashauri, mawaziri n.k

Walugaluga hawa wakuona kundi lolote liwe la Waalimu Wasio na Ajira NETO, Kikundi cha Kuzikana, Kikundi cha Kuweka na Kukopeshana, Chama cha Upinzani n.k walugaluga hawa watatafuta kila njia kuviua vikundi hivi vya kijamii

Vikundi hivi vya kijamii ndiyo msingi wa fikra mpya vya kutaka kutafuta ufumbuzi na maendeleo katika mazingira yao. Ila walugaluga waliopo serikali kuu iwe Dar es Salaam, Dodoma, Pretoria, Abuja, Maputo, Nairobi watatuma dola kuviua vikundi hivi.

Vikundi hivi ndiyo msingi wa kujiletea maendeleo siyo kusubiri waziri wa maji wa serikali kuu kuwachimbia visima vya maji. Masuala msingi madogo kama maji, elimu, imani, yanaweza kutatuliwa ngazi ya chini katika Halmashauri au kijiji kwa suala la maji, elimu ngazi ya jimbo au kanda, suala la kujenga hekalu kwa ajili ya masuala ya kiimani mbona tunaona jamii wanaweza kujenga hekalu zuri wakawasiliana na Miungu yao ya kiimani.

Hawa hawa walioweza kujenga hekalu kubwa kwa kujitegemea wanashindwa kujenga visima virefu, mashule n.k Au ni vikwazo vya wasomi walugaluga (watu pori) waliojitwalia mamlaka ya kimaamuzi Dar es Salaam, Dodoma, Kinshasa, Maputo, Pretoria ndiyo kikwazo kwa maendeleo ya vikundi, jamii na vijiji?


Meya mweusi asiye msomi mlugaluga ( mtu pori) awakubali watu wa Orania South Afrika kujitolea kwa kuanzisha kijiji cha maendeleo kwa jamii yao, na kukiri tuna kitu chanya cha kujifunza kutoka kijiji hiki cha mfano cha wa Afrikaana :
Patriotic Alliance leader Gayton McKenzie explains his visit to Orania, his thoughts on Joburg's new mayor and more.

View: https://m.youtube.com/watch?v=jvhvViF0YhM
 
Leo hii ukienda vyuo vya ulaya na marekani vipanga wanaongoza darasani ni waafrica waliopata scholarship kutoka africa. Hata uingereza familia inayoongoza kuwa na IQ ni waafika kutoka nigeria.
Wachina na wahindi wako wapi?
Sikatai Kuna waafrika wanakuwa exceptional huko majuu ila mbona tunapigwa gepu sana? Hadi makampuni kama google, Facebook, WhatsApp wamejaa wahindi na wachina
Sisi tunaongoza wapi? Usikute watu wanaenda kushine kwenye vyuo vya mziki 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…