Kwa Nini Mwafrika Hana Maajabu kokote aendako? Kifo cha Ndoto ya South Afrika kutoka Nuru ya Bara mpaka kuwa taifa linaloenda kufeli

Huko facebook na google una uhakika hakuna waafrika? Miaka kadhaa hapo nyuma kulikuwa na mwafrica kutoka ivory coast alikuwa ceo wa benk moja nimeisahau jina ila ipo world wide hata head of project ya teknolojia ya fiber inayotumika kwenye internet alikuwa mtu mweusi kutoka ghana hata yule ndugu yetu mtanzania mwenzetu alieajiriwa kampuni ya Boeing na mpaka kuajiriwa kampuni ya Boeing sio mchezo huyo ni kichwa kweli kweli ...kwa kifupi wapo wengi mno hamuwaoni sababu nyie mmebase kwenye negativity
 
Kwamba yote yanayosemwa kuhusu south africa ni uongo wa Elon musk na Trump? Kwamba Eskom haijafeli? Kwamba Saps hawajazidiwa nguvu na vibaka? Kwamba ufisadi wa wakina Remtullah akishirikiana na government officials ulikuwa ni wa uongo tu? Think twice man.
 
Sawa,ila nchi zao zina hali gani? Kuna lolote la maana walilozifanyia nchi zao?
 
Kwa hiyo unajichukia?
Sijipi umuhimu , we unadhani kesho likatokea janga ambalo linahitaji watu takribani bilioni wapunguzwe kwa mkupuo we unadhani hicho kikao cha maamuzi kitakuwa kirefu sana? Wataangalia bara ambalo watu wake ni mzigo mkubwa; mnafutwa wote wanakuja kuchimba madini wenyewe (cheap labor wataitoa hata Sli Lanka au Malaysia huko 😂)
 
Africa ufisadi siyo S.africa tu, Kila nchi Africa ufisadi ni wa kiwango Cha juu, kwann imulikwe S.Africa tu? na siyo nchi nyingine.
 
Kila nchi hufanya vitu kwa maslahi yake binafsi kwanza.

Kwa hiyo kuwalalamikia wazungu kwa hujuma ni excuse zisizo na msingi.

Kwa nini tusipambane kivyetu vyetu?
 
Kila nchi hufanya vitu kwa maslahi yake binafsi kwanza.

Kwa hiyo kuwalalamikia wazungu kwa hujuma ni excuse zisizo na msingi.

Kwa nini tusipambane kivyetu vyetu?
Huwezi kuwalaumu wazungu sababu unawapenda sana unatamani ungekuwa kama wao licha ya kuwachinja mababu zako still bado unawapenda
 
Ww umevumbua nini au mitaro ya dsm
 
Huwezi kuwalaumu wazungu sababu unawapenda sana unatamani ungekuwa kama wao licha ya kuwachinja mababu zako still bado unawapenda
Wazungu watabaki kuwa bora na ndio wameleta maendeleo makubwa duniani karibu kwenye nyanja zote za kimaisha.

Waafrika hatuna mchango wowote hapa duniani zaidi ya kuwaza ngono na kuzaliana kama mapanya kuongeza umaskini duniani.
 
Kwanini sisi tuwaruhusu watupangie bei? Mbona sisi hatupangi zao? Huoni utetezi wako hauna mashiko?

Waafrica wengi viongozi ni binafsi na wasiopenda Kusaidia na wenye kuelewa mambo kwakua kufanya hivyo kunaingilia maslahi yao binafsi. Hatupendani na ni wabinafsi sana
 
South africa viongozi weusi walirithi nchi ikiwa tayari ina changamoto kibao hayo unayaona ni matokeo ya hizo changamoto...ninachoona hapa unacheza race card kuonyesha kwamba wazungu walikuwa perfect ingawa ukwelisio huo.
Sawa nchi ilikuwa na changamoto kibao ni nini maana ya kutaka kuongoza?si ni kwamba umeona pale wenzako walishindwa kufanya unapaweza?na walipewa,right?

Sasa walifanya nini?ikiwa tu walishaambiwa baada ya muda fulani kama hawajaboresha miundo mbinu ya umeme kutakuwa na hali mbaya na wasiboreshe leo yale maonyo madhara yake yameonekana unashauri tumuone bado mzungu hakuwa perfect?Africa tuko cursed tukubali huo ndiyo ukweli na viongozi ndiyo laana imewalalia kabisa maana hawajui hata kwanini wameshika nyadhifa walizo nazo japokuwa walizigombania na raia wakafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…