Kwa Nini Mwafrika Hana Maajabu kokote aendako? Kifo cha Ndoto ya South Afrika kutoka Nuru ya Bara mpaka kuwa taifa linaloenda kufeli

Self hate inakusumbua acha kuangalia series na movie za wazungu ndio zinakuharibu akili
 
Wewe kweli umelishwa sumu na CCM, mwandishi aliyokwambia hapo juu yote ni ya kweli. Mimi nimeshuhudia siyo kwamba nimeambiwa. Nimeanza Kwenda SA mapema sana. Mwaka 2009 nilimwambia partner wangu Ambaye ni muSA kuwa nyie mnakuja kuwa kama Tanzania, nikamwambia nampa miaka kumi tu. Alikataa. Nimeenda sana nchi hiyo, na nimeishi sehemu nyingi. Australia, Hong Kong na China. Juzi juzi wali jamaa zangu wamekubali; wananiuliza hivi nilijuaje? Nchi haiwezi kuendeshwa na wapambe, kuiba, crime, corruption etc etc,

Sasa hivi mahakama SA ni kama za Tanzania tu.

Miafrika ni bure, ni laana
 
Ufahamu utatoka wapi wakati waafrika wanashindia ugali na mataputapu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…