Yote uliyoandika kuhusu wanaume sio yakweli na unapaswa kukemewa kwa kueneza habari za kichochezi!
Kwamba mwanaume hawezi kukaa week bila kufanya uzinzi? Haa jamani mbona wengine tunakaa hadi mwaka?
Alafu nikupe sababu ya mwanamke kuitwa kicheche. Hii kitu iko natural kwamba jinsia ME sio kwa binadamu tu bali kwa viumbe wote ni polygamous by nature.
Ndio maana utaona mwanaume anaoa wake hata wanne lakini hutaona mwanamke anaolewa na wanaume wanne. Ndio maana jogoo anapanda kila mtetea anaempitia machoni. Ata wanyama wengine madume yanapanda tu jike yoyote.
Hivyo basi kutokana na hali hiyo ni ajabu sana kuona mwanamke akigawa utamu kwa mwanaume zaidi ya mmoja na ndio maana mwanamke anaedanga anaitwa kicheche.
Kwa mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni kitu cha kawaida sana hata nature inaruhusu, ila vice versa ni maajabu sana.