Kwa nini mwanaume asiitwe" KICHECHE" akaitwa mwanamke?

Kwa nini mwanaume asiitwe" KICHECHE" akaitwa mwanamke?

Mwanamke n kicheche kutoka enz na enz na Bado n kicheche
 
Unajua kwa nini...

Kicheche anafanya mapenzi mara nyingi kwa siku ndani ya nuda mfupi mfupi... hicho kitendo mwanamke anakiweza...

Mwanaume hawezi kulala na wanawake 26 kwa siku moja ndani ya muda mfupi mfupi atakufa...

Mwanamke anauwezo wa kustahimili kulala na wanaume hata 26 kwa siku moja kwa muda mfupi mfupi...

Yote ni kwa sababu mwanaume anasimamisha ni mpaka hisia za kusimama zirudi tena, kwa mwanamke ni tofauti...


Cc: mahondaw
 
Yote uliyoandika kuhusu wanaume sio yakweli na unapaswa kukemewa kwa kueneza habari za kichochezi!

Kwamba mwanaume hawezi kukaa week bila kufanya uzinzi? Haa jamani mbona wengine tunakaa hadi mwaka?

Alafu nikupe sababu ya mwanamke kuitwa kicheche. Hii kitu iko natural kwamba jinsia ME sio kwa binadamu tu bali kwa viumbe wote ni polygamous by nature.

Ndio maana utaona mwanaume anaoa wake hata wanne lakini hutaona mwanamke anaolewa na wanaume wanne. Ndio maana jogoo anapanda kila mtetea anaempitia machoni. Ata wanyama wengine madume yanapanda tu jike yoyote.

Hivyo basi kutokana na hali hiyo ni ajabu sana kuona mwanamke akigawa utamu kwa mwanaume zaidi ya mmoja na ndio maana mwanamke anaedanga anaitwa kicheche.

Kwa mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni kitu cha kawaida sana hata nature inaruhusu, ila vice versa ni maajabu sana.
 
Tumuulize MwanaFA ndo anapenda saaana kutumia hilo neno vicheche..
"Tusigombanie vicheche huo ni urithi wetu"
 
Back
Top Bottom