Kwa nini naiheshimu baby walker yangu

Kwa nini naiheshimu baby walker yangu

Mungu tuhurumie[emoji22][emoji22][emoji22]
1075798

Ameen!!..
 
Mara nyingi uzoefu unaonesha wanaoendesha baby walker ni wamiliki wa kwanza wa magari yani hawajawahi kumiliki gari kwanza pili wenye SUV angalau hilo hua sio gari lake la kwanza shida ya wamiliki wa baby walkers ni hua na akili za kitoto yani barabarani ni wasumbufu sana..ukiomba site mara wanakukazia, ukitaka kwenda hivi mara kakikimbizs kigari chake ndo maana wanaishiwa kudharauliwa wengi hua wanapapara mara kahama huku yani fujo na vurugu tupu
 
Haya tumejua unaendesha prado and the likes
 
Acha tucheke tu kwa kweli. Wabongo wanadhani watu wote wapo sawa kifedha, kimazingira, kimajukumu, kimachaguo etc. Wao kazi kuponda tu mara hivi mara vile.... live your life jamani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tucheke tu
 
Mara nyingi uzoefu unaonesha wanaoendesha baby walker ni wamiliki wa kwanza wa magari yani hawajawahi kumiliki gari kwanza pili wenye SUV angalau hilo hua sio gari lake la kwanza shida ya wamiliki wa baby walkers ni hua na akili za kitoto yani barabarani ni wasumbufu sana..ukiomba site mara wanakukazia, ukitaka kwenda hivi mara kakikimbizs kigari chake ndo maana wanaishiwa kudharauliwa wengi hua wanapapara mara kahama huku yani fujo na vurugu tupu
Sio kweli kwamba baby Walker inaashiri ndiyo gari la Kwanza kumiliki...
Kuna watu wameingia kwenye SUV moja kwa moja...na Kuna watu wanamiliki baby Walker kwa Mara ya tatu au zaidi...
Suala la kumiliki baby Walker au SUV ni utashi wa mtu na kipato....

Kuhusu ukorofi barabarani siyo kweli...
Watanzania wengi ambao tumekulia familia za kimasiki tukija kufanikiwa ukubwani tunaanza kujiinua...utakuta mtu Ana prado anajitutumua Kama vile vile Prado ndiyo gari za thamani zaidi duniani.
Kwa hiyo misifa barabarani ni asili yetu watz bila kujali unamiliki Toyo, baby Walker au SUV
 
Na hizi mvua saizi umuhimu wa gari ndio unaonekana mi my wish ilikua nikimaliza chuo tu nikipata kazi cha kwanza nanunua gari na kweli nilifanya hivyo so tangu 2010 mi nakula kipupwe tu nishasahau hata mambo ya daladala
 
Hongera Sana..
Watanzania wengi tunashindwa kupambanua kwamba..
Kuwa na gari ni suala linalojitegemea...
Aina ya gari unalomiliki ni suala linalojitegemea
Bei ya gari unalomiliki ni suala linalojitegemea..

Sasa watu wengi hawawezi kupambanua hivyo ndiyo maana mtu mwenye SUV daima humdharau mwenye gari ndogo
 
IMG_20190313_114923_835.jpeg

Haha haha nimecheka sana aiseeh

Nimeona tutako tuleee tunachungulia...

Halafu akilizangu chafu zimewaza.... Kama kwenye daladala anasimamia ukucha hivi... Kwenye uwanja wa fundi seremala jee???

Aahahahahahahahaaaa JF is never boring aiseeh.

Halafu kwenye daladala ukikumbatiwa inabidi uwe mpole tuu aahahahaha maana huyo jamaa wa shati jeupe kapigwa kumbato la kiunoni kabaki kumtizama tuu mkumbataji wake eeheheheehheheee mbavu zangu mie.

Nje mvua inanyesha kuubwaa ila ukiwa na usafiri hukwamishwi na jambo.

Asante mtoa mada aahahahahahaa.

Kasinde.
 
Acha tucheke tu kwa kweli. Wabongo wanadhani watu wote wapo sawa kifedha, kimazingira, kimajukumu, kimachaguo etc. Wao kazi kuponda tu mara hivi mara vile.... live your life jamani!
I'm proud of my baby Walker coz najua inavyonisaidia...
Hao wenye Prado tuwaache waendeleze dharau....ila mwisho wa siku watambue wote tunauziwa petrol Bei moja[emoji16][emoji16]
 
View attachment 1088486

Haha haha nimecheka sana aiseeh

Nimeona tutako tuleee tunachungulia...

Halafu akilizangu chafu zimewaza.... Kama kwenye daladala anasimamia ukucha hivi... Kwenye uwanja wa fundi seremala jee???

Aahahahahahahahaaaa JF is never boring aiseeh.

Halafu kwenye daladala ukikumbatiwa inabidi uwe mpole tuu aahahahaha maana huyo jamaa wa shati jeupe kapigwa kumbato la kiunoni kabaki kumtizama tuu mkumbataji wake eeheheheehheheee mbavu zangu mie.

Nje mvua inanyesha kuubwaa ila ukiwa na usafiri hukwamishwi na jambo.

Asante mtoa mada aahahahahahaa.

Kasinde.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye uwanja wa fundi seremala atasimamia kidole kimoja huyu....

Halafu unakuta mtu Kama huyo mtaani anamponda mwenye passing[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mara nyingi uzoefu unaonesha wanaoendesha baby walker ni wamiliki wa kwanza wa magari yani hawajawahi kumiliki gari kwanza pili wenye SUV angalau hilo hua sio gari lake la kwanza shida ya wamiliki wa baby walkers ni hua na akili za kitoto yani barabarani ni wasumbufu sana..ukiomba site mara wanakukazia, ukitaka kwenda hivi mara kakikimbizs kigari chake ndo maana wanaishiwa kudharauliwa wengi hua wanapapara mara kahama huku yani fujo na vurugu tupu

Wana akili za kitoto sana aisee, hasa kwenye kukazia bila sababu ya msingi ukitaka kumu overtake ndio balaa unaona ghafla ki passo kinapepea kuonyeah kwamba SUV yako si chochote
 
Hongera Sana..
Watanzania wengi tunashindwa kupambanua kwamba..
Kuwa na gari ni suala linalojitegemea...
Aina ya gari unalomiliki ni suala linalojitegemea
Bei ya gari unalomiliki ni suala linalojitegemea..

Sasa watu wengi hawawezi kupambanua hivyo ndiyo maana mtu mwenye SUV daima humdharau mwenye gari ndogo
Wasikubabaishe mkuu ukicheki sisi wenye gari ndogo halulii ishu ya mafuta lakini wao ishu ya mafuta inawaumiza kivhwa sana na spea
 
Wana akili za kitoto sana aisee, hasa kwenye kukazia bila sababu ya msingi ukitaka kumu overtake ndio balaa unaona ghafla ki passo kinapepea kuonyeah kwamba SUV yako si chochote
ha ha ha ha ha ha
 
Sio kweli kwamba baby Walker inaashiri ndiyo gari la Kwanza kumiliki...
Kuna watu wameingia kwenye SUV moja kwa moja...na Kuna watu wanamiliki baby Walker kwa Mara ya tatu au zaidi...
Suala la kumiliki baby Walker au SUV ni utashi wa mtu na kipato....

Kuhusu ukorofi barabarani siyo kweli...
Watanzania wengi ambao tumekulia familia za kimasiki tukija kufanikiwa ukubwani tunaanza kujiinua...utakuta mtu Ana prado anajitutumua Kama vile vile Prado ndiyo gari za thamani zaidi duniani.
Kwa hiyo misifa barabarani ni asili yetu watz bila kujali unamiliki Toyo, baby Walker au SUV
Kama unajua kusoma na kuandika nilisema "uzoefu unaonesha" mtu alietoka kutembea kwa miguu au kutumia usafiri wa umma hua ana hulka ya kua na matumizi madogo haswa pale unapofikia muda anataka kumiliki chombo cha usafiri ni nadra sana mtu anunue gari lake la kwanza liwe SUV linaloanzia 3000CC 98% ya wanunuzi wa gari kwa mara ya kwanza huanzia kununua magari ya 990CC - 1500 wakizidi sana ni 2000CC na miongoni mwa hayo ya 990-1500CC ni baby walker na baby walker hua zinafujo sana barabarani hauwezi kukubali hilo maana wewe ni miongoni mwa baby walkers wale wanaopenda kuweka mafuta 15,000-20,000 wanataka watembelee na gari wiki nzima kwa mafuta hayo hayo..
 
Back
Top Bottom