Makonda ni zuzumagickwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama traore.
1. traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia mtandaon uone Fasomebo inavyofanya. Ni makonda pekee ndie aliwah kuja na kampen zikazaa matunda.mfano usaf kila mwisho wa mwez, bima kwa kila mtz.n.k
fasomebo sasa kila mtu anachangia alichonacho.pavement, ma barabara ya lami yanatandikwa kila angle na mim nasema piga ua ni makonda peke yake anakuwaga na ka karama flan ka kuhamasisha. Fasomebo inawezekana
kiongoz nyie ndio mmetajwa na mayala aina tatu za watu. usijadil mwili wake .jadili initiatives zake. Fasomebo makonda anawezayani una mfananisha Traore na yule mbwa mwenye matako makubwa kama mshangazi π³ kua na adabu wewe alaaaah
Bashite moja ya watu wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tanzania hafai kua hata mjumbe wa nyumba 10, mambo yake kamuulize mbunge wa arusha anamjua vizuri, kumfananisha na Traore ni kumkosea heshima Traore kwa kiwango kikubwa sanakiongoz nyie ndio mmetajwa na mayala aina tatu za watu. usijadil mwili wake .jadili initiatives zake. Fasomebo makonda anaweza
πWanaume wengi walionenepa wanakuwaga na matako makubwa...na wanatembea wanayatikisa makalio yao...Fanya research hutajuta kuyajua hayaπyani una mfananisha Traore na yule mbwa mwenye matako makubwa kama mshangazi π³ kua na adabu wewe alaaaah
Vipi ile ya kila nyumba mkoa wa Dar kupakwa rangi, ilifanikiwa nayo?Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore.
1. Traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia mtandaon uone Fasomebo inavyofanya. Ni makonda pekee ndie aliwah kuja na kampen zikazaa matunda.mfano usaf kila mwisho wa mwez, bima kwa kila mtz.n.k
Fasomebo sasa kila mtu anachangia alichonacho.pavement, ma barabara ya lami yanatandikwa kila angle na mimi nasema piga ua ni Makonda peke yake anakuwaga na ka karama flan ka kuhamasisha. Fasomebo inawezekana
Mmmh!! Huyo ππππππNi huyu Makonda au kuna mwingineView attachment 3406968
More like Tweedlee Dee and Tweedlee Dum.Nyani Ngabu atakwambia traore na bashite ni nothing yani ni pwagu na pwaguzi
Unamkosea sana heshima Mzalendo wa nchi yake Captain Ibrahim Traore kwa kumlinganisha na jambazi Nyamitako.Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore.
1. Traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia mtandaon uone Fasomebo inavyofanya. Ni makonda pekee ndie aliwah kuja na kampen zikazaa matunda.mfano usaf kila mwisho wa mwez, bima kwa kila mtz.n.k
Fasomebo sasa kila mtu anachangia alichonacho.pavement, ma barabara ya lami yanatandikwa kila angle na mimi nasema piga ua ni Makonda peke yake anakuwaga na ka karama flan ka kuhamasisha. Fasomebo inawezekana
Hizi tabia za kuita watu mbwa mnazitoa wapi mkuuyani una mfananisha Traore na yule mbwa mwenye matako makubwa kama mshangazi π³ kua na adabu wewe alaaaah