kwa nini namuona Makonda kama Traore

Hata sijakupangia na wala siwezi kufanya hivo

Ila nilitaka kukuuliza tu swali hilo kama binadamu mwenzako kumwita mbwa kwako ni sawa halafu wewe usiwe mbwa!
Kwani hua hauoni wamiliki wa mbwa wanavyo ongea na mbwa zao, tuliza mshono huo nimemuita mbwa nimemaliza hizo zingine ni shida zako
 
Hivi Traore ni jambazi?
 
Makonda na Traore ni watu wawili tofauti kabisa.
Makonda ni mtu anayechungulia fursa kwa maslahi yake binafsi wakat Traore anafanya hivyo hivyo ila kwa maslahi ya UMMA.

Mfano, Makonda kwenye kuchukua fomu ya kugombea ubunge, ili kupata watu wengi wa kumsindikiza, akaandaa karamu ya nyama choma.
Sherehe hiyo ilifanyika katikati ya mji wa Arusha na kufunga barabara bila kujali usumbufu wanaopata watu wengine.

Traore unaweza kumfanisha na Magufuli sio huyu mhuni msaka Tonge.
Arusha wameumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…