Waliowengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawajui maana halisi ya neno ndoa, cha msingi ni wote wawili wapendanao kujua maana khalisi ya ndoa kuchunguzana tabia kabla ya kufunga ndoa na ni vzr ukimpata yule mnayeendana kitabia
Nadhani unatakiwa umfahamu mweza wako kabla ya kufanya maamuzi ya kuona na siyo mnakutana mda mfupi tu na kutangaziana kuaona.Watu wanatakiwa wawe na mda wa kufahamu tabia za mwenzako na namna ya kudeal nazo. Kumbuka kila mtu amelelewa na familia na mazingira tofauti ni ngumu sana kuendena ndani ya mda mfupi.
La pili wanandoa wa siku hizi hawana uvumilivu co kama wazazi wetu. kila mtu anajiona yuko sahihii.. cha muhimu ni kuvumiliana tuu.
huyo kwanza kabisa alifanya kosa kuoa claasmate wake wa chuo....wewe hapo chuo hapo unaona vimodel hivyo basi wadhani umeona vyote...tulizana kwanza uone dunia na utulize hormones hizo ndio utafanya uamuzi mzuri
uanaume unaanzia miaka mingap?
TV Series zinawadanganya na kabla ya ndoa huwa wote wana "act", ikifika kwenye "real life" wanachanganyikiwa.