Kwa nini ndoa kuvunjika haraka inawakumba sana vijana?

Kwa nini ndoa kuvunjika haraka inawakumba sana vijana?

Bwana mdogo karudi darasani ujifunze upya ku present point zako. halafu Huku kujidai kujua kila kitu na kubisha bisha ndiko kunakowaponza vijana kama wewe. Unataka afanye utafiti gani zaidi ya huo .Ebu acha kuleta theories za darasani ambazo humu haziwezi kamwe kufanya kazi hapa tunaongea kwa uzoefu.

Umepiga ikulu hapo mkuu, ndo maana unaona hasira zote hizo.
 
King'asti alishaongea huko nyuma: 'watu wanaingia kwa ndoa wakiwa na dhamira na mawazo tofauti, Mwanaume anaoa akiamini mpenzi wake hatambadilikia ili hali mwanamke anaolewa akiamini Mwanaume atabadilika baaya ya kuoa. Hapo unaweza kupata picha ya aina ya bomu linalotengenezwa, na ni wazi halitakawia kupasuka na 'kujeruhi' watu.
 
Tatizo kubwa la waoaji wa siku hizi ni kuwa hawaoi mwanamke kwa vigezo vya mke bora lakini wanaoa kwa vigezo kilichopo ndani ya mwolewaji mfano kazi, utajiri n.k
 
Hivi sasa hivi watu wanaoana au wanawowana?

Kabla hujafanya maamuzi chunguza kaka unaoa/olewa au unawowa/wolewa

Kama umewewowa afu ndoa ikavunjika unashangaa nini.
 
Back
Top Bottom