King'asti alishaongea huko nyuma: 'watu wanaingia kwa ndoa wakiwa na dhamira na mawazo tofauti, Mwanaume anaoa akiamini mpenzi wake hatambadilikia ili hali mwanamke anaolewa akiamini Mwanaume atabadilika baaya ya kuoa. Hapo unaweza kupata picha ya aina ya bomu linalotengenezwa, na ni wazi halitakawia kupasuka na 'kujeruhi' watu.