Habari,
Sidhani kama kuna binadamu ambaye haoti ndoto! Kwanini Ndoto nyingi tunazoota, ukitafuta Tafasiri za ndoto toka kwa watu wa kiroh zinakupa ujumbe tofauti na ulivyoota!
Mfano:
~ Utaota unagalagala kwenye kinyesi, tafsiri itasema utapata pesa nyingi karibu!
~ Utaota unapigana na vibaka tafasiri itasema tofauti na ulivyoota!
Kwanini hatuoti ujumbe straight!?