mkulimasana1
Member
- Dec 29, 2014
- 43
- 13
Wakuu,naomba elimu.Kwa nini ndoto ninazoota haziendelei/hazifiki mwisho wake? Na mara nyingi hubadilika sana (ndani ya ndoto moja[sijui niite usingizi mmoja? yaani kusinzi mara ya kwanza kabla ya kufumbua macho tena] haikamiliki na hubadilika hata zaidi ya mara tatu).Asanteni.