Kwa nini ndoto zangu zangu zinaishia njiani na kubadilika?

Kwa nini ndoto zangu zangu zinaishia njiani na kubadilika?

mkulimasana1

Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
43
Reaction score
13
Wakuu,naomba elimu.Kwa nini ndoto ninazoota haziendelei/hazifiki mwisho wake? Na mara nyingi hubadilika sana (ndani ya ndoto moja[sijui niite usingizi mmoja? yaani kusinzi mara ya kwanza kabla ya kufumbua macho tena] haikamiliki na hubadilika hata zaidi ya mara tatu).Asanteni.
 
Back
Top Bottom