nimesikitishwa na kitendo cha NECTA cha kutotumia majina ya wanafunzi badala yake wametumia namba. kwa jinsi matokeo yalivyomabaya wanafunzi wengi watadanganya namba zao au watakuwa wagumu kutoa namba zao sahihi. au ni kwa sababu ya MWANAISHA aliyemaliza mwaka jana ikawa gumzo????