The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Wanaogopa na mioyo yao imejawa hofu teleGT
Nimefatilia watawala wetu hasa hawa wa CCM tangu vugu vugu la No reforms no election kutamka neno HAKI imekuwa ni kaa la moto midomoni mwao.
Wao kwa sasa wamejificha kwenye kichaka cha.Amani. huku wakijua bayana kabisa kabisa Amani ni tunda la haki. Ili upate maziwa lazima ng'ombe awepo CCM wanaona kila mtu ni mjinga inasikitisha sana.
Sasa tunakoelekea watakuwa wanatamka namna hii.
1. AMANI za binadamu
2. Uchaguzi Huru na wa AMANI
3.Tume ya AMANI za kibidamu
4. Mashirika ya AMANI za kiraia.
5.AMANI inapatikana mahakamani
6. Mnyonge myongeni lakini AMANI yake apewe.
7 Binadamu wote wana AMANI sawa mbele ya sheria. etc etc.
Ndugu zangu huko ndo tunakoelekea kwa sasa. CCM days are numbered
Kwa sababu ni wauaji, wote mikono yao imejaa damuGT

HAYO UMEYASEMA WEWE WAO WANASEMAJE KWANI?GT

Kunyamaza siyo amani, naweza kunyamaza kwakupenda mwenyewe ama kwa kunyamazishwaGT
Nimefatilia watawala wetu hasa hawa wa CCM tangu vugu vugu la No reforms no election kutamka neno HAKI imekuwa ni kaa la moto midomoni mwao.
Wao kwa sasa wamejificha kwenye kichaka cha.Amani. huku wakijua bayana kabisa kabisa Amani ni tunda la haki. Ili upate maziwa lazima ng'ombe awepo CCM wanaona kila mtu ni mjinga inasikitisha sana.
Sasa tunakoelekea watakuwa wanatamka namna hii.
1. AMANI za binadamu
2. Uchaguzi Huru na wa AMANI
3.Tume ya AMANI za kibidamu
4. Mashirika ya AMANI za kiraia.
5.AMANI inapatikana mahakamani
6. Mnyonge myongeni lakini AMANI yake apewe.
7 Binadamu wote wana AMANI sawa mbele ya sheria. etc etc.
Ndugu zangu huko ndo tunakoelekea kwa sasa. CCM days are numbered
Ndio maana kutwa kufokafoka. Dhuluma haijawahi kuzaa matunda mema!Wanaogopa na mioyo yao imejawa hofu tele
Haya ni maajabu kwa kweliBu kwaWezi wa kura hawawezi kukuelewa ukisema eti unataka tume ya uchaguzi ambayo Mwenyekiti wao ambaye pia ndiye mgombea wao asiwe sehemu ya tume hiyo.
Yaani hata huhitaji akili nyingi kujua Chaguzi zote za Tanzania huwa ni kiini macho.
Kupotezeana pesa na muda kupanga foleni.