Kwa nini Netanyahu tu ndio analaumiwa Israel huku Rais wao akiachwa? Kwa nini ICC haijamtaka Rais ambaye ni mkuu wa nchi Israel?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Tangu vita vya Israel na Hamas vianze anayesemewa kwa mabaya yote ni waziri mkuu tu wa Israel Benjamin Netanyahu wakati Israel wana Rais ambaye anasaini kila kitu!

Kwa nini Rais wa Israel amenyamaziwa katika shutuma inazotupiwa Israel kuhusu utendaji wa jeshi lake dhidi ya Hamas wakati yeye ndiye mkuu wa nchi?
 
Rais sio mtendaji, mtendaji ni prime minister.
Ndiyo maana hujawahi sikia uingereza wanataka mfalme au malkia apigwe chini bali wana deal na waziri mkuu. Ujerumani pia ina rais lakini chancellor ndiye mtendaji mkuu.
 
Back
Top Bottom