stable woman JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 3,884 Reaction score 4,479 Jan 13, 2014 #21 Jina jingine si mbuzi katoliki au nmekosea?
Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,409 Reaction score 13,262 Jan 31, 2014 #23 Jabulani said: Kumekuwapo na utumiaji wa jina la noah pale ambapo panamaanisha nguruwe mnyama aka mdudu, na hiyo lugha hasa nimeipata humu JF. Naombeni kuuliza, nguruwe aliitwa noah kutokana na gari aina hiyo kufanana na mnyama huyo, au kuna sababu nyingine? Click to expand... Wanafanana sana. Ni kama Hiece inavofanana na panya ikaitwa kipanya
Jabulani said: Kumekuwapo na utumiaji wa jina la noah pale ambapo panamaanisha nguruwe mnyama aka mdudu, na hiyo lugha hasa nimeipata humu JF. Naombeni kuuliza, nguruwe aliitwa noah kutokana na gari aina hiyo kufanana na mnyama huyo, au kuna sababu nyingine? Click to expand... Wanafanana sana. Ni kama Hiece inavofanana na panya ikaitwa kipanya