Kwa nini nguruwe anaitwa noah humu JF?

Kwa nini nguruwe anaitwa noah humu JF?

2Q==
 
Kumekuwapo na utumiaji wa jina la noah pale ambapo panamaanisha nguruwe mnyama aka mdudu, na hiyo lugha hasa nimeipata humu JF. Naombeni kuuliza, nguruwe aliitwa noah kutokana na gari aina hiyo kufanana na mnyama huyo, au kuna sababu nyingine?

attachment.php
Wanafanana sana. Ni kama Hiece inavofanana na panya ikaitwa kipanya
 
Back
Top Bottom