Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Umewahi kujiulixa hili
Makanisa mengi ya kiroho wakianza kuombea watu
Kama ULIKUWA HUJUI hili kama ukisikia neno "umeme " nguvu za kiumeee ama za kike
Ukisikia mwenye umeme uliopotea nikujuze nguvu za ....kama una shida hioo kimbilia fasta MBELE ukaombeweee
Badoo nawaza
Hivi ilikuwaje makanisa yotee wakaita nguvu za kiume umeme????wasiite maji
Wale wenye ueleewa kidogo nipeni MSAADA kwenye hili