Kwa nini ni makosa Mzumbe, Ilboru, Kibaha, etc kuitwa shule ya vipaji maalumu?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda unawafanyisha mazoezi ya kupata A. Hata sisi wa kayumba tukipewa hayo mazingira Bora tunapata A.

Hii conversional Education system iliyovumbuliwa enza za viwanda ulaya ili kupata wafanyakazi haina nafasi katika hizi zama maana tayari Kuna mafuriko ya hao watu duniani. Inategenezea watu majuto tu.

Kama mtoto anauwezo wa sarakasi, atengenzewe mazingira ya sarakasi Hadi zimuingizie pesa.

Kama ni mchekeshaji aanze kuchekeshea hukohuko asiwe kama yule dogo mchekeshaji alisoma Chuo cha MAJI. Amegundua anachekesha baada ya kukosa kazi, hii imepelekea achelewe kupiga pesa.

Kama ni fundi aanze kutengeneza vitu vidogo vidogo tangu akiwa hukohuko.

Hivyo ndio vipaji maalumu. Ndio maana hawa wadau wengi wanaishia KUWA waalimu wa twisheni, waajiliwa na watu wenye visheni za kufanikiwa kifamilia sio kitaifa.

Hivyo Kuna haja ya shule zote ziwe na kitengo cha vipaji maalum, na Sio shule moja. Wenye vipaji wakuzwe hukohuko tangu wakiwa shule ya Msingi au sekondari.

USHAHIDI
Hadi Sasa zaidi ya kuongoza kwenye matokeo ya kielimu hakuna ushahidi hata WA kijana mmoja shule hizo ambaye KWA kipaji chake kuendelezwa huko ameliletea taifa faida flani ya kugusika na kuonekana.

Ni hayo tu...

Mtumishi Matunduizi
 
Hao sio kama wana vipaji sema ndo ivo tu mtu kupata A nyingi kwenye masomo sio kwamba ndo kipaji iko vipaji ndo kama ivo ulivosema mpira kuimba sarakasi nk sasa ww unapata A nyingi darasani hio sio kipaji tunakosea sn ndo mana huwez kuwaona huku mtaani na vipaji vyao mana haya ushapata A zote una one ya 3 au 7 ss ww kipaji chako n nini hao wengi wao wana kuwa ma dr engeneer au waalim sasa hapo ndo ni kipaji iko au ushawahi sikia mtu ana kipaji cha u dr
 
Wako very specific actually..Huwa zinaitwa Shule za 'Vipaji Maalum Kiakili'...sio vipaji vingine vyovyote
Aliyesoma hizi shule atakuambia matokeo ya selection huandikwa hivyo
 
Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda unawafanyisha mazoezi ya kupata A. Hata sisi wa kayumba tukipewa hayo mazingira Bora tunapata A.

Hii conversional Education system iliyovumbuliwa enza za viwanda ulaya ili kupata wafanyakazi haina nafasi katika hizi zama maana tayari Kuna mafuriko ya hao watu duniani. Inategenezea watu majuto tu.

Kama mtoto anauwezo wa sarakasi, atengenzewe mazingira ya sarakasi Hadi zimuingizie pesa.

Kama ni mchekeshaji aanze kuchekeshea hukohuko asiwe kama yule dogo mchekeshaji alisoma Chuo cha MAJI. Amegundua anachekesha baada ya kukosa kazi, hii imepelekea achelewe kupiga pesa.

Kama ni fundi aanze kutengeneza vitu vidogo vidogo tangu akiwa hukohuko.

Hivyo ndio vipaji maalumu. Ndio maana hawa wadau wengi wanaishia KUWA waalimu wa twisheni, waajiliwa na watu wenye visheni za kufanikiwa kifamilia sio kitaifa.

Hivyo Kuna haja ya shule zote ziwe na kitengo cha vipaji maalum, na Sio shule moja. Wenye vipaji wakuzwe hukohuko tangu wakiwa shule ya Msingi au sekondari.

USHAHIDI
Hadi Sasa zaidi ya kuongoza kwenye matokeo ya kielimu hakuna ushahidi hata WA kijana mmoja shule hizo ambaye KWA kipaji chake kuendelezwa huko ameliletea taifa faida flani ya kugusika na kuonekana.

Ni hayo tu...

Mtumishi Matunduizi
Elimu imejikita kufundisha wanafunzi kuukabili mtihani na hatimaye kupata 'A'. Ndio maana shule zinawekeza sana maandalizi ya mitihani. Wachache hutafuta maarifa kama lengo la kwanza.
 
Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda unawafanyisha mazoezi ya kupata A. Hata sisi wa kayumba tukipewa hayo mazingira Bora tunapata A.

Hii conversional Education system iliyovumbuliwa enza za viwanda ulaya ili kupata wafanyakazi haina nafasi katika hizi zama maana tayari Kuna mafuriko ya hao watu duniani. Inategenezea watu majuto tu.

Kama mtoto anauwezo wa sarakasi, atengenzewe mazingira ya sarakasi Hadi zimuingizie pesa.

Kama ni mchekeshaji aanze kuchekeshea hukohuko asiwe kama yule dogo mchekeshaji alisoma Chuo cha MAJI. Amegundua anachekesha baada ya kukosa kazi, hii imepelekea achelewe kupiga pesa.

Kama ni fundi aanze kutengeneza vitu vidogo vidogo tangu akiwa hukohuko.

Hivyo ndio vipaji maalumu. Ndio maana hawa wadau wengi wanaishia KUWA waalimu wa twisheni, waajiliwa na watu wenye visheni za kufanikiwa kifamilia sio kitaifa.

Hivyo Kuna haja ya shule zote ziwe na kitengo cha vipaji maalum, na Sio shule moja. Wenye vipaji wakuzwe hukohuko tangu wakiwa shule ya Msingi au sekondari.

USHAHIDI
Hadi Sasa zaidi ya kuongoza kwenye matokeo ya kielimu hakuna ushahidi hata WA kijana mmoja shule hizo ambaye KWA kipaji chake kuendelezwa huko ameliletea taifa faida flani ya kugusika na kuonekana.

Ni hayo tu...

Mtumishi Matunduizi
Saizi karibu kila shule ni vipaji maalum,sengerema form six one 500
 
Anzisha shule yako!
 
Wako very specific actually..Huwa zinaitwa Shule za 'Vipaji Maalum Kiakili'...sio vipaji vingine vyovyote
Aliyesoma hizi shule atakuambia matokeo ya selection huandikwa hivyo
Akili ipi maana Kuna aina nyingi za akili
 
Wako very specific actually..Huwa zinaitwa Shule za 'Vipaji Maalum Kiakili'...sio vipaji vingine vyovyote
Aliyesoma hizi shule atakuambia matokeo ya selection huandikwa hivyo
Uko sahihi vipaji viko vingi
Mleta mada haelewi
 
Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda unawafanyisha mazoezi ya kupata A. Hata sisi wa kayumba tukipewa hayo mazingira Bora tunapata A.

Hii conversional Education system iliyovumbuliwa enza za viwanda ulaya ili kupata wafanyakazi haina nafasi katika hizi zama maana tayari Kuna mafuriko ya hao watu duniani. Inategenezea watu majuto tu.

Kama mtoto anauwezo wa sarakasi, atengenzewe mazingira ya sarakasi Hadi zimuingizie pesa.

Kama ni mchekeshaji aanze kuchekeshea hukohuko asiwe kama yule dogo mchekeshaji alisoma Chuo cha MAJI. Amegundua anachekesha baada ya kukosa kazi, hii imepelekea achelewe kupiga pesa.

Kama ni fundi aanze kutengeneza vitu vidogo vidogo tangu akiwa hukohuko.

Hivyo ndio vipaji maalumu. Ndio maana hawa wadau wengi wanaishia KUWA waalimu wa twisheni, waajiliwa na watu wenye visheni za kufanikiwa kifamilia sio kitaifa.

Hivyo Kuna haja ya shule zote ziwe na kitengo cha vipaji maalum, na Sio shule moja. Wenye vipaji wakuzwe hukohuko tangu wakiwa shule ya Msingi au sekondari.

USHAHIDI
Hadi Sasa zaidi ya kuongoza kwenye matokeo ya kielimu hakuna ushahidi hata WA kijana mmoja shule hizo ambaye KWA kipaji chake kuendelezwa huko ameliletea taifa faida flani ya kugusika na kuonekana.

Ni hayo tu...

Mtumishi Matunduizi
Uzi bora saana huu.
Lakini huoni watu wakichangia hapa.

Watachangia kwenye zinaongelea personal attacks kama nani awe mwenyekiti wa CCM nani asiwe kiongozi na ujinga ujinga mwingi.

Hili suala tulishaliongelea na kufanya research lakini limekosa political willingness...
 
Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda unawafanyisha mazoezi ya kupata A. Hata sisi wa kayumba tukipewa hayo mazingira Bora tunapata A.

Hii conversional Education system iliyovumbuliwa enza za viwanda ulaya ili kupata wafanyakazi haina nafasi katika hizi zama maana tayari Kuna mafuriko ya hao watu duniani. Inategenezea watu majuto tu.

Kama mtoto anauwezo wa sarakasi, atengenzewe mazingira ya sarakasi Hadi zimuingizie pesa.

Kama ni mchekeshaji aanze kuchekeshea hukohuko asiwe kama yule dogo mchekeshaji alisoma Chuo cha MAJI. Amegundua anachekesha baada ya kukosa kazi, hii imepelekea achelewe kupiga pesa.

Kama ni fundi aanze kutengeneza vitu vidogo vidogo tangu akiwa hukohuko.

Hivyo ndio vipaji maalumu. Ndio maana hawa wadau wengi wanaishia KUWA waalimu wa twisheni, waajiliwa na watu wenye visheni za kufanikiwa kifamilia sio kitaifa.

Hivyo Kuna haja ya shule zote ziwe na kitengo cha vipaji maalum, na Sio shule moja. Wenye vipaji wakuzwe hukohuko tangu wakiwa shule ya Msingi au sekondari.

USHAHIDI
Hadi Sasa zaidi ya kuongoza kwenye matokeo ya kielimu hakuna ushahidi hata WA kijana mmoja shule hizo ambaye KWA kipaji chake kuendelezwa huko ameliletea taifa faida flani ya kugusika na kuonekana.

Ni hayo tu...

Mtumishi Matunduizi
Kila mwanafunzi ana haki ya kusoma shule hizo kama tu ana kipaji cha akili za kupata ufaulu wa mia kwa mia masomo yote.
 
Nimesoma hizo shule kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.....
Ni kupiga 'msuli' tuu ila wachache walibarikiwa uwezo wa kuelewa haraka na huwa wanajisomea kwa muda mfupi.....
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri,nakazia wale sio vipaji maalumu bali vipaji vya kujua kusoma kuandika na kuchora na kupata mtihani A.Sasa vitafutwe vipaji maalumu kila shule iwe navyo kama Chinq wanavyofanya kuanzia wakiwa wadogo
 
Back
Top Bottom