matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Elimu imejikita kufundisha wanafunzi kuukabili mtihani na hatimaye kupata 'A'. Ndio maana shule zinawekeza sana maandalizi ya mitihani. Wachache hutafuta maarifa kama lengo la kwanza.Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda unawafanyisha mazoezi ya kupata A. Hata sisi wa kayumba tukipewa hayo mazingira Bora tunapata A.
Hii conversional Education system iliyovumbuliwa enza za viwanda ulaya ili kupata wafanyakazi haina nafasi katika hizi zama maana tayari Kuna mafuriko ya hao watu duniani. Inategenezea watu majuto tu.
Kama mtoto anauwezo wa sarakasi, atengenzewe mazingira ya sarakasi Hadi zimuingizie pesa.
Kama ni mchekeshaji aanze kuchekeshea hukohuko asiwe kama yule dogo mchekeshaji alisoma Chuo cha MAJI. Amegundua anachekesha baada ya kukosa kazi, hii imepelekea achelewe kupiga pesa.
Kama ni fundi aanze kutengeneza vitu vidogo vidogo tangu akiwa hukohuko.
Hivyo ndio vipaji maalumu. Ndio maana hawa wadau wengi wanaishia KUWA waalimu wa twisheni, waajiliwa na watu wenye visheni za kufanikiwa kifamilia sio kitaifa.
Hivyo Kuna haja ya shule zote ziwe na kitengo cha vipaji maalum, na Sio shule moja. Wenye vipaji wakuzwe hukohuko tangu wakiwa shule ya Msingi au sekondari.
USHAHIDI
Hadi Sasa zaidi ya kuongoza kwenye matokeo ya kielimu hakuna ushahidi hata WA kijana mmoja shule hizo ambaye KWA kipaji chake kuendelezwa huko ameliletea taifa faida flani ya kugusika na kuonekana.
Ni hayo tu...
Mtumishi Matunduizi
Saizi karibu kila shule ni vipaji maalum,sengerema form six one 500Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda unawafanyisha mazoezi ya kupata A. Hata sisi wa kayumba tukipewa hayo mazingira Bora tunapata A.
Hii conversional Education system iliyovumbuliwa enza za viwanda ulaya ili kupata wafanyakazi haina nafasi katika hizi zama maana tayari Kuna mafuriko ya hao watu duniani. Inategenezea watu majuto tu.
Kama mtoto anauwezo wa sarakasi, atengenzewe mazingira ya sarakasi Hadi zimuingizie pesa.
Kama ni mchekeshaji aanze kuchekeshea hukohuko asiwe kama yule dogo mchekeshaji alisoma Chuo cha MAJI. Amegundua anachekesha baada ya kukosa kazi, hii imepelekea achelewe kupiga pesa.
Kama ni fundi aanze kutengeneza vitu vidogo vidogo tangu akiwa hukohuko.
Hivyo ndio vipaji maalumu. Ndio maana hawa wadau wengi wanaishia KUWA waalimu wa twisheni, waajiliwa na watu wenye visheni za kufanikiwa kifamilia sio kitaifa.
Hivyo Kuna haja ya shule zote ziwe na kitengo cha vipaji maalum, na Sio shule moja. Wenye vipaji wakuzwe hukohuko tangu wakiwa shule ya Msingi au sekondari.
USHAHIDI
Hadi Sasa zaidi ya kuongoza kwenye matokeo ya kielimu hakuna ushahidi hata WA kijana mmoja shule hizo ambaye KWA kipaji chake kuendelezwa huko ameliletea taifa faida flani ya kugusika na kuonekana.
Ni hayo tu...
Mtumishi Matunduizi
Anzisha shule yako!Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda unawafanyisha mazoezi ya kupata A. Hata sisi wa kayumba tukipewa hayo mazingira Bora tunapata A.
Hii conversional Education system iliyovumbuliwa enza za viwanda ulaya ili kupata wafanyakazi haina nafasi katika hizi zama maana tayari Kuna mafuriko ya hao watu duniani. Inategenezea watu majuto tu.
Kama mtoto anauwezo wa sarakasi, atengenzewe mazingira ya sarakasi Hadi zimuingizie pesa.
Kama ni mchekeshaji aanze kuchekeshea hukohuko asiwe kama yule dogo mchekeshaji alisoma Chuo cha MAJI. Amegundua anachekesha baada ya kukosa kazi, hii imepelekea achelewe kupiga pesa.
Kama ni fundi aanze kutengeneza vitu vidogo vidogo tangu akiwa hukohuko.
Hivyo ndio vipaji maalumu. Ndio maana hawa wadau wengi wanaishia KUWA waalimu wa twisheni, waajiliwa na watu wenye visheni za kufanikiwa kifamilia sio kitaifa.
Hivyo Kuna haja ya shule zote ziwe na kitengo cha vipaji maalum, na Sio shule moja. Wenye vipaji wakuzwe hukohuko tangu wakiwa shule ya Msingi au sekondari.
USHAHIDI
Hadi Sasa zaidi ya kuongoza kwenye matokeo ya kielimu hakuna ushahidi hata WA kijana mmoja shule hizo ambaye KWA kipaji chake kuendelezwa huko ameliletea taifa faida flani ya kugusika na kuonekana.
Ni hayo tu...
Mtumishi Matunduizi
Hata hizo ni zangu maana ziko hapo KWA Kodi zangu mkuuAnzisha shule yako!
Akili ipi maana Kuna aina nyingi za akiliWako very specific actually..Huwa zinaitwa Shule za 'Vipaji Maalum Kiakili'...sio vipaji vingine vyovyote
Aliyesoma hizi shule atakuambia matokeo ya selection huandikwa hivyo
Utateseka sana!Hata hizo ni zangu maana ziko hapo KWA Kodi zangu mkuu
Uko sahihi vipaji viko vingiWako very specific actually..Huwa zinaitwa Shule za 'Vipaji Maalum Kiakili'...sio vipaji vingine vyovyote
Aliyesoma hizi shule atakuambia matokeo ya selection huandikwa hivyo
Uzi bora saana huu.Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda unawafanyisha mazoezi ya kupata A. Hata sisi wa kayumba tukipewa hayo mazingira Bora tunapata A.
Hii conversional Education system iliyovumbuliwa enza za viwanda ulaya ili kupata wafanyakazi haina nafasi katika hizi zama maana tayari Kuna mafuriko ya hao watu duniani. Inategenezea watu majuto tu.
Kama mtoto anauwezo wa sarakasi, atengenzewe mazingira ya sarakasi Hadi zimuingizie pesa.
Kama ni mchekeshaji aanze kuchekeshea hukohuko asiwe kama yule dogo mchekeshaji alisoma Chuo cha MAJI. Amegundua anachekesha baada ya kukosa kazi, hii imepelekea achelewe kupiga pesa.
Kama ni fundi aanze kutengeneza vitu vidogo vidogo tangu akiwa hukohuko.
Hivyo ndio vipaji maalumu. Ndio maana hawa wadau wengi wanaishia KUWA waalimu wa twisheni, waajiliwa na watu wenye visheni za kufanikiwa kifamilia sio kitaifa.
Hivyo Kuna haja ya shule zote ziwe na kitengo cha vipaji maalum, na Sio shule moja. Wenye vipaji wakuzwe hukohuko tangu wakiwa shule ya Msingi au sekondari.
USHAHIDI
Hadi Sasa zaidi ya kuongoza kwenye matokeo ya kielimu hakuna ushahidi hata WA kijana mmoja shule hizo ambaye KWA kipaji chake kuendelezwa huko ameliletea taifa faida flani ya kugusika na kuonekana.
Ni hayo tu...
Mtumishi Matunduizi
Kwa mfano?Akili ipi maana Kuna aina nyingi za akili
Kila mwanafunzi ana haki ya kusoma shule hizo kama tu ana kipaji cha akili za kupata ufaulu wa mia kwa mia masomo yote.Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda unawafanyisha mazoezi ya kupata A. Hata sisi wa kayumba tukipewa hayo mazingira Bora tunapata A.