Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Some people sijui mnalewaga nini!! au ni ushamba wa kutokujua? na kuropoka hovyo?? huko kwenu Bunda sijui mkojeee???? sasa tangu lini Mondi Mwanamuziki akawa Fundi mitambooo!!!!Swali, kwanini alimzimia microphone Kiba kule Mombasa?
Kwanza hata Mondi hajui -ve na +ve terminals!! zina uhusiano gani, hata km alisoma amesha sahahu.... some pipo rahisi tu unajua tu hawa hawajaenda shule yaani padooogo sana!!