Kwa nini nimefurahi Diamond kukosa tuzo?

Swali, kwanini alimzimia microphone Kiba kule Mombasa?
Some people sijui mnalewaga nini!! au ni ushamba wa kutokujua? na kuropoka hovyo?? huko kwenu Bunda sijui mkojeee???? sasa tangu lini Mondi Mwanamuziki akawa Fundi mitambooo!!!!

Kwanza hata Mondi hajui -ve na +ve terminals!! zina uhusiano gani, hata km alisoma amesha sahahu.... some pipo rahisi tu unajua tu hawa hawajaenda shule yaani padooogo sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…