Kwa nini pilau tu katika x- mass?

Kwa nini pilau tu katika x- mass?

Tena pilau iliyolala ni noma
 
Lamichungwani zanzibari kwa kachumbari ni tamu ati
 
Sikukuu biriani mpango mzima....pilau mambo ya zamani
 
pilau hushibisha haraka kwasababu ya mafuta na harufu inaashiria siku tofauti,na wabongo wengi hawali pilau kila siku
 
Back
Top Bottom