Kwa nini Puerto Rico sio tajiri kama USA?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Kwanini?

Puerto Rico ni sehemu ya USA lakini ni kama third World fulani ukilinganisha na USA, au kwa nini Mexico, Brazil au Argentina sio tajiri kama USA na Canada?

Kwa nini India sio matajiri kama China? Kwanini Sub Saharan Africa siyo relatively well off kama North Africa? Kwanini Ireland sio rich kama England, kwanini Dutch speaking Belgium Flemish is richer French speaking (Wallonia).

Kwanini Poland sio tajiri kama Ujerumani, kwa nini South Europe (Uhispania, Ureno, Ugiriki, sehemu ya Italia) sio matajiri kama northern Europe (Sweden, Denmark, Holland, Ujerumani, England nk) , kwanini Malaysia sio tajiri kama Singapore, kwanini Zanzibar sio tajiri kama Shelisheli?
 
Kwa nini, Puerto rico ni sehemu ya USA lkn ni kama third World fulani ukilinganisha na USA, au kwa nini Mexiko, Brazil au Argentina siyo rich kama USA na Kanada? Kwa nini India siyo rich kama China? Kwa nini sub saharan Afrika siyo relatively well off kama north Afrika? , kwa nini Ireland siyo rich kama England, kwa nini Dutch speaking Belgium Flemish is richer French speaking (Wallonia), kwa nini Poland siyo rich kama Ujerumani, ...
Yani hapa ni kama umeuliza kwanini Mafia sio matajiri kama Tanzania? Hali ya kuwa Mafia yenyewe ni part ya Tanzania.

Na Gdp per capita ya Puerto Rico ni zaidi ya Dola 30,000, hivyo kuifananisha na ulimwengu wa tatu unawakosea sana, sio matajiri kama Nchi za Gulf na Scandnavia ila wanafanana na nchi nyingi za ulaya na ni matajiri kushinda nchi nyingi za Africa na Asia.
 
Kwasababu wanajiamulia mambo yao wenyewe huku kundi kubwa la watu wakiwa ni weusi.

Na Kumbuka watu weusi akili zao ni ndogo.
 
Kwa nini? Puerto rico ni sehemu ya USA lkn ni kama third World fulani ukilinganisha na USA, au kwa nini Mexiko, Brazil au Argentina siyo rich kama USA na Kanada? Kwa nini India siyo rich kama China? Kwa nini sub saharan Afrika siyo relatively well off kama north Afrika? , kwa nini Ireland siyo rich kama England, kwa nini Dutch speaking Belgium Flemish is richer French speaking (Wallonia), kwa nini Poland siyo rich kama Ujerumani, kwa nini South Europe ( Uhispania, Ureno, Ugiriki, sehemu ya Italia) siyo rich kama northern Europe (Sweden, Denmark, Holland, Ujerumani, England, ... ) , ...
Umesoma kitabu cha "How Africa underdeveloped Western Europe" ?
 
Hujui Puertorico ni koloni la USA kule vijana wengi hawana ajira wanakimbilia US.

Serikali imekopa mpaka imefilisika mpaka viwango vya kutisha

Wanafunzi wa vyuo wengi hawana mikopo wanashindwa hata kumudu milo mitatu

Watupekee ambao wana unafuu wa maisha ni wa staafu ambao wanaambulia peshen japo ni kidogo

Shule nyingi za serikali hazioperate kutokana na serikali kushindwa kuziendesha matoke yake zimekua magofu

My take ;Bunge la Tanzania lisipoweka sheria ya kuidhibit serikali kiwango cha mwisho cha mkopo my be tutakujakua Puertoriko nyingine ya East Africa.
 
Puerto Rico ipi? That country is rich... Kila mwaka wanapokea mpunga wa kutosha(around $21B) from the US... Wale ni haki yao kwenda Marekani coz wao ni US citizens...Wao wanachokosa kutoka US ni haki ya kuchagua viongozi wa Congress coz the territory isn't the US state.
 
Yani hapa ni kama umeuliza kwanini Mafia sio matajiri kama Tanzania? Hali ya kuwa Mafia yenyewe ni part ya Tanzania.

Na Gdp per capita ya Puerto Rico ni zaidi ya Dola 30,000, hivyo kuifananisha na ulimwengu wa tatu unawakosea sana, sio matajiri kama Nchi za Gulf na Scandnavia ila wanafanana na nchi nyingi za ulaya na ni matajiri kushinda nchi nyingi za Africa na Asia.

Dhana ya GDP per capital huwa siielewi.. labda kwasababu sikuwahi kupitia mrengo wa uchumi na lugha zake. Per capital ya Singapore ni kubwa kuliko US.. but huwezi kusema Singapore ni richer than US.

At the same time GDP ya US is way far compared to Singapore.

Wanasema Per capital ya Rwanda ni kubwa kuliko Nigeria but GDP ya Nigeria is way far compared to Rwanda.

Naomba ufafanuzi wa haya masuala mkuu.
 
Mkuu kuna utajiri wa nchi na uwezo wa mtu mmoja mmoja kufanya manunuzi.

Chukulia mfano India ni katika nchi 20 tajiri duniani. Lakini utajiri wake ni sababu wapo wengi, mpaka leo wanahangaika kujenga Vyoo, Hadi sisi Tunawapita linapokuja suala la kujisaidia Chooni, wana masikini wengi wa kutupwa na uswazi mwingi. Hivyo unaona mkuu unaweza ukachukua masikini bilioni 1 ukajumlisha vihela vyao na nchi ikaonekana tajiri sana.

Usa, China na India pato lao ni kubwa sana sababu ya population yao Kubwa.

Nchi za Nordic/scandnavia, Gulf, singapore, brunei etc zenyewe zina pato kubwa la mtu mmoja mmoja, Raia wanakuwa na uwezo mkubwa wa kununua vitu, hawashindwi mambo kama huduma za Afya, kula bata nchi za mbali wakati wa likizo, malazi mazuri, milo mizuri elimu nzuri etc. Hivyo pato la mtu mmoja mmoja ni zuri zaidi kuliko pato la nchi.
 
Asante kwa huu ufafanuzi. Hope nikiongezea na wikipedia nitapata kitu.
 
Nitakusaidia kidogo hasa kwanini Portugal, spain, Ireland, Southern Italy na Greece sio tajiri kama western europe. Jibu hapa ni dini. Nchi zote hizi dini yao ni RC. Kuna kitu kinaitwa."the protestant ethic and the spirit of calvinism " mathehebu ya kiprotestant yanamfundisha mtu kujituma zaidi kuliko hawa wa RC ambao hutegemea miongozo kutoka kiongozi wa dini na wengi wa viongozi wa dini sio wa kuchaguliwa ni watu wanawekwa kwa manufaa ya watu fulani. Hata hapa TZ wa RC wanamtii zaidi kiongozi wao wa dini kuliko mtu yoyote.
 
Pamoja na ukatoliki wao. Spain na portugal were super powers in the past. Leaders wa maritime kipindi kile na walikuwa na makoloni makubwa America etc. Navy zao zilikuwa superior than UK
Nawaza ukiacha ukatoliki labda kuna factors nyingine more prominent
Nitakusaidia kidogo hasa kwanini Portugal, spain, Ireland, Southern Italy na Greece sio tajiri kama western europe. Jibu hapa ni dini. Nchi zote hizi dini yao ni RC. Kuna kitu kinaitwa."the protestant ethic and the spirit of calvinism " mathehebu ya kiprotestant yanamfundisha mtu kujituma zaidi kuliko hawa wa RC ambao hutegemea miongozo kutoka kiongozi wa dini na wengi wa viongozi wa dini sio wa kuchaguliwa ni watu wanawekwa kwa manufaa ya watu fulani. Hata hapa TZ wa RC wanamtii zaidi kiongozi wao wa dini kuliko mtu yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna utajiri wa nchi na uwezo wa mtu mmoja mmoja kufanya manunuzi.

Chukulia mfano India ni katika nchi 20 tajiri duniani. Lakini utajiri wake ni sababu wapo wengi, mpaka leo wanahangaika kujenga Vyoo, Hadi sisi Tunawapita linapokuja suala la kujisaidia Chooni, wana masikini wengi wa kutupwa na uswazi mwingi. Hivyo unaona mkuu unaweza ukachukua masikini bilioni 1 ukajumlisha vihela vyao na nchi ikaonekana tajiri sana.

Usa, China na India pato lao ni kubwa sana sababu ya population yao Kubwa.

Nchi za Nordic/scandnavia, Gulf, singapore, brunei etc zenyewe zina pato kubwa la mtu mmoja mmoja, Raia wanakuwa na uwezo mkubwa wa kununua vitu, hawashindwi mambo kama huduma za Afya, kula bata nchi za mbali wakati wa likizo, malazi mazuri, milo mizuri elimu nzuri etc. Hivyo pato la mtu mmoja mmoja ni zuri zaidi kuliko pato la nchi.

Utajiri wa nchi wanachukua total earning ya kila mwananchi wanagawa na namba ya wananchi.
Kwahyo hata kama una watu billion 1 masikini ukijumlisha hela zao ukagawanya na namba yao lazima itakuja namba ndogo sana...
sawa india kuna masikini wengi lakini pia matajiri wengi na wana hela nyingi kiasi kwamba ukijumlisha hela zao hata ukagawa na total population bado inakuwa namba kubwa...hope nimeeleweka.

Ni sawa na bongo wakiongezeka kina mo 10 tu unaweza shangaa tunaitwa middle income country.
 
I think zile vita mbili ww1 na ww2 zinaplay role kubwa sana kudetermine who is rich and who is not... Usa kawa superpower kupitia WW2 russia kashushwa etc. Etc.
Kina spain yale ma assimilation na france fascism yaliwazingua
 
Maendeleo ya nchi yanategemea sana kiongozi aliye madarakani. Mifano mizuri ni Dubai, Rwanda na Singapore.
Mazingira ya Rwanda, Burundi na Uganda ni yale yale. Lugha zinakaribiana lakini kwasababu moja tu ya utawala wa Rwanda na kukomesha rushwa, Rwanda imepiga hatua. Hata kama humpendi Kagame hili halipingiki. Kumbuku ni juzi tu 1994 Rwanda ilikua takataka.
Dubai nako na Singapore walianza kuondoa ubinafsi na kukomesha rushwa.
Kenya ina uchumi mkubwa sana lkn kwenye tenda za serikali utakuta kalamu moja ya BIC inanunuliwa kwa Ksh karibia laki. Gari moja linapaishwa bei mara 40. Sasa imagine wananunua gari za polisi mia tano. Pamoja na uchumi mkubwa lkn hawawezi kujilinganisha na Rwanda. Uganda ndio kumeoza kwa rushwa na anaitoa rais mwenyewe akitaka kubadilisha katiba ili afie ikulu.
 
Utajiri wa nchi wanachukua total earning ya kila mwananchi wanagawa na namba ya wananchi.
Kwahyo hata kama una watu billion 1 masikini ukijumlisha hela zao ukagawanya na namba yao lazima itakuja namba ndogo sana...
sawa india kuna masikini wengi lakini pia matajiri wengi na wana hela nyingi kiasi kwamba ukijumlisha hela zao hata ukagawa na total population bado inakuwa namba kubwa...hope nimeeleweka.

Ni sawa na bongo wakiongezeka kina mo 10 tu unaweza shangaa tunaitwa middle income country.
Wewe ndio umeingia chaka, kuna

-Gdp
-Gdp per capita (Nominal)
-Gdp per capita (ppp)

Unachozungumzia wewe ni Gdp per capita kwa kiswahili rahisi pato la mtu mmoja mmoja ambalo hupatikana kwa kuchukua pato lote gawanya kwa idadi ya watu.

Pato la nchi haliangalii idadi ya watu, definition yake

Gross domestic product (GDP) is a monetary measure of the market value of all the final goodsand services produced in a specific time period
 
Back
Top Bottom