Kwa nini Putin anaogopa sana Republican president ila akiwa Democratic party president Putin anavamia Georgia Chechnya, now Ukraine

Kwa nini Putin anaogopa sana Republican president ila akiwa Democratic party president Putin anavamia Georgia Chechnya, now Ukraine

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
67 percent USA gall up poll Wanasema Putin anaogopa sana republican .Kwa nini Putin anajiona m babe Democratic Party wakiwa kwenye madaraka .Biden alipochaguliwa tu aka kata pipe line ya oil na kumpa deal Putin over climate change .Russia makes 1 billion dollar a day from USA.It means USA are funding Putin right now .what is your opinion
B6F40975-949B-4EA3-846F-410BB8C44803.jpeg
C101FF4C-C047-48CA-9F99-1095878F74AF.jpeg
A3D151E2-A55A-4670-9E9C-C061C20224AC.jpeg
 
Putin huwa hana kipindi maalum Cha kufanya mashambulizi kumbuka Gergia aliishambulia kipindi Cha utawala wa bush,yeye anachoangalia Ni mda gan maslah yake yamechezewa na dunia ipo kimya ndo hapo anapofanya yake,
 
Nafikiri ungejiuliza pia ni kwanini Democratic party (Democrats) waingiapo madarakani marekani huingia vitani.
67 percent USA gall up poll Wanasema Putin anaogopa sana republican .Kwa nini Putin anajiona m babe Democratic Party wakiwa kwenye madaraka .Biden alipochaguliwa tu aka kata pipe line ya oil na kumpa deal Putin over climate change .Russia makes 1 billion dollar a day from USA.It means USA are funding Putin right now .what is your opinionView attachment 2139356View attachment 2139358View attachment 2139359
 
Putin huwa hana kipindi maalum Cha kufanya mashambulizi kumbuka Gergia aliishambulia kipindi Cha utawala wa bush,yeye anachoangalia Ni mda gan maslah yake yamechezewa na dunia ipo kimya ndo hapo anapofanya yake,
No always amekwenda vitanj dem wakiwa madarakani .Especially Crimea Obama a kamwacha na dunia nzima sasa Hivi dunia imemkuta na na Zellensky 44 years old
 
Kwenye kichwa cha habari yako ondoa neno "Putin anaogopa"
 
Back
Top Bottom