huyu mzee shivji ameichambua rasimu ya katiba leo kuhusu muundo wa serikali tatu na mengine mengi...huyu mzee angekuwa kwenye tume ya katiba angetoa ushauri mzuri na kwa upande mwingine uwenda angeweza shirikiana na wajumbe wenzake kutupatia katiba nzuri zaidi
Kitendo cha kumuacha ndiyo kimefanya tupate fursa ya kupata uchambuzi wake makini. Angekuwa ndani kusingekalika kule. Ama angejitoa au ingebidi wakubali ukweli ulivyo kitu ambacho nadhani isingekuwa rahisi. Hivi sasa tumepata mawazo mbadala. Profesa hakutaka kusema tu moja kwa moja. Muungano huu ndio kwa heri tena. Suala kubwa tujue mipaka kati ya Tanganyika na Zanzibar. baada ya hapo Wapemba na wa Unguja watajuana wenyewe kwe wenyewe huko!huyu mzee shivji ameichambua rasimu ya katiba leo kuhusu muundo wa serikali tatu na mengine mengi...huyu mzee angekuwa kwenye tume ya katiba angetoa ushauri mzuri na kwa upande mwingine uwenda angeweza shirikiana na wajumbe wenzake kutupatia katiba nzuri zaidi
kikwete anapenda kuzungukwa na wajinga hawezi kumteua mtu mwelevu kama Shivji.
Usitishwe na PHD yake, Tundu Lisu ni Wakili wa Mahakama Kuu na anayo LLM vile vile lakini mchango wake kwa Taifa hili Prof Baregu anaufikia?wajinga akina baregu?
Swala la serikali mbili kama anavyopendekeza Profesa bado litakuwa ni tatizo hasa kwa Zanzibar ambayo siku zote inasema muundo huo unaibana. Mimi nadhani serikali (dola) mbili ni sawa ila ziwe Tanganyika - au labda kwa kuwa Tanganyika haipendezi masikioni mwa wengi - Azania/Dar es Salaam/Rubia na Zanzibar. Kwa vyovyote vile kuweko Serikali ya Tanganyka iliyojibandika jina la Muungano haiingii akilini mwangu-au kwa lugha rahisi - Tanganyika kwa jina lolote lile lazima ionekane dhahiri bila kutumia mwenge/tochi/kuruzi.Anaunga mkono 2 kulinda Muungano ila kuna marekebisho kidogo kwenye Bunge!
kikwete anapenda kuzungukwa na wajinga hawezi kumteua mtu mwelevu kama Shivji.
Ni mkweli na anajua nn anafanya hii serikali hawezi kumpenda mtu kama yyhuyu mzee shivji ameichambua rasimu ya katiba leo kuhusu muundo wa serikali tatu na mengine mengi...huyu mzee angekuwa kwenye tume ya katiba angetoa ushauri mzuri na kwa upande mwingine uwenda angeweza shirikiana na wajumbe wenzake kutupatia katiba nzuri zaidi