Kwa nini Rais Kikwete hakumteua prof Shivji kuwa mjumbe kwenye Tume ya Katiba?

Kwa nini Rais Kikwete hakumteua prof Shivji kuwa mjumbe kwenye Tume ya Katiba?

Tume ya katiba ilijaa wanasiasa watupu. Hata kama walisoma sheria lakini kwa sasa ni wanasiasa tu...wengi wao masuala ya katiba hawayajui...inawezekana ilikuwa kupeana ulaji tu.
 
Back
Top Bottom