BinMgen JF-Expert Member Joined Jun 18, 2008 Posts 1,858 Reaction score 284 Jul 5, 2013 #21 Mwakabuje Jr. said: Ni mkweli na anajua nn anafanya hii serikali hawezi kumpenda mtu kama yy Click to expand... Hana lolote analazimisha mawazo ya Nyerere na Karume.
Mwakabuje Jr. said: Ni mkweli na anajua nn anafanya hii serikali hawezi kumpenda mtu kama yy Click to expand... Hana lolote analazimisha mawazo ya Nyerere na Karume.
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Jul 6, 2013 #22 Tume ya katiba ilijaa wanasiasa watupu. Hata kama walisoma sheria lakini kwa sasa ni wanasiasa tu...wengi wao masuala ya katiba hawayajui...inawezekana ilikuwa kupeana ulaji tu.
Tume ya katiba ilijaa wanasiasa watupu. Hata kama walisoma sheria lakini kwa sasa ni wanasiasa tu...wengi wao masuala ya katiba hawayajui...inawezekana ilikuwa kupeana ulaji tu.