Kwa nini Russia isiiongoze BRICS kuipinga Israel.

Kwa nini Russia isiiongoze BRICS kuipinga Israel.

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Russia kwa nini isiitumie BRICS kuipinga Israel na kutumia nguvu ya kijeshi waliyonayo kuiunga mkono ama Hezbollah au Hamas dhidi ya Israel?

Maana Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya na washirika wao wanaiunga mkono Israel.
 
USA anafanya hivo kwasababu ana maslahi na Israel na haitumii NATO, mataifa yanayo support Israel yanakwenda as individuals not unioni ndio maana France yupo against with what Israel is doing; well Russia ana maslahi gani na Wapalestina hata apeleke jeshi lake? Why huombi the same Russia or America to do the same to Congo, Somalia etc?
 
BRICS wameingia mpaka kina uganda, nigeria, vietnam na wapuuzi wengine wanaozidi kujazana huko ili tu wawe karibu na urusi na china walau nao wafaidi vinono vya BRICS. Sasa hao uganda na nigeria wana ubavu gani kuunga juhudi za kuipinga israel?
 
Ndiyo maana nasema kwa nini Russia isiiongoze BRICS. Najua siyo wa kijeshi lakini nchi zote hizo zina majeshi.

Maslahi yao ya kiuchumi hayatishiwi na vita hiyo ya Mashariki ya kati?
Vita ni Fursa kubwa kiuchumi, wanauza silaha na taarifa za kiintelijensia
 
Kwanini apeleke jeshi wakati ana uhakika Hezbollah watafanya vizuri?

Usiteteleke na Israel kupiga makazi ya raia na kuua raia wengi. Ushinfi wa vita hauangalii mambo hayo
 
Huko Somalia Marekani si walijaribu kuingia na wakauawa? Kuhusu Kongo Jeshi la UN si linaungwa mkono na nchi hizo?
Kama ni jeshi la UN, Lebanoni pia lipo; but again why huko unaona ni sawa kwa jeshi la UN while kule unataka Russia? Is it not double standard? Again, USA alipeka jeshi Somali those years wakati anamtafuta Osama Bin Laden, hakupeleka jeshi kule ili kuwalinda Wasomali, alifanya hivo akiwa na maslahi as he is doing in middle east
 
Kwanini apeleke jeshi wakati ana uhakika Hezbollah watafanya vizuri?

Usiteteleke na Israel kupiga makazi ya raia na kuua raia wengi. Ushinfi wa vita hauangalii mambo hayo
Mnajifariji huku mmebana mikundunamarinda mkiwa na uchungu na maumivu makali. Allah mwenyewe mziki kaukubali kala kona na kuingia chaka.

Chezea myahudi wewee.

NETANYAHU AKBAR!

FB_IMG_1729599095307.jpg
 
Back
Top Bottom