Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ndiyo maana nasema kwa nini Russia isiiongoze BRICS. Najua siyo wa kijeshi lakini nchi zote hizo zina majeshi.Brics sio muungano wa kijeshi ( not military alliance)....ni muungano wa kiuchumi mkuu[emoji23][emoji23]
Vita ni Fursa kubwa kiuchumi, wanauza silaha na taarifa za kiintelijensiaNdiyo maana nasema kwa nini Russia isiiongoze BRICS. Najua siyo wa kijeshi lakini nchi zote hizo zina majeshi.
Maslahi yao ya kiuchumi hayatishiwi na vita hiyo ya Mashariki ya kati?
Kobaz ni janga la duniaRussia, China, India na Israel wanaheshimiana sana. Shida ni kobaz anaivuruga dunia.
Huko Somalia Marekani si walijaribu kuingia na wakauawa? Kuhusu Kongo Jeshi la UN si linaungwa mkono na nchi hizo?Why huombi the same Russia or America to do the same to Congo, Somalia etc?
Kama ni jeshi la UN, Lebanoni pia lipo; but again why huko unaona ni sawa kwa jeshi la UN while kule unataka Russia? Is it not double standard? Again, USA alipeka jeshi Somali those years wakati anamtafuta Osama Bin Laden, hakupeleka jeshi kule ili kuwalinda Wasomali, alifanya hivo akiwa na maslahi as he is doing in middle eastHuko Somalia Marekani si walijaribu kuingia na wakauawa? Kuhusu Kongo Jeshi la UN si linaungwa mkono na nchi hizo?
Mnajifariji huku mmebana mikundunamarinda mkiwa na uchungu na maumivu makali. Allah mwenyewe mziki kaukubali kala kona na kuingia chaka.Kwanini apeleke jeshi wakati ana uhakika Hezbollah watafanya vizuri?
Usiteteleke na Israel kupiga makazi ya raia na kuua raia wengi. Ushinfi wa vita hauangalii mambo hayo