Kwa nini Russia wananajisi anga la Ulaya/NATO

Kwa nini Russia wananajisi anga la Ulaya/NATO

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Siku za karibuni alianza kupeleka drones Poland. Akarusha ndege kwenye anga la Estonia. Siku hizi mbili kapeleka drones Dernmark na Norway.

Hadi uwanja wa ndege Copennhagen ulifungwa.

Russia ana lengo gani kufanya unajisi huu?
 
Testing military readiness ya Nato forces, response time, kustudy radar capabilities of their adversaries, stealthy characteristics of intercepting fighters na surveillance.

Hiyo ni practice ya kawaida jeshini.
 
Ana tafuta sababu ya kubondwa bila shaka Wacha aendeleze huo uchokozi Soon kitamlamba
 
Ninachojua kijeshi NATO kama military alliance Haina Cha kujifanya Urusi Sanasana kuendelea kujisaidia Ukraine ndio option kubwa iliyobaki
 
Kwa sababu rais wa sasa wa Marekani Trump ni kiongozi mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom