Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
Njaa na kupenda rushwaLicha ya kulitumbukiza shirikisho la Fifa kwenye kashfa ya rushwa. Blatter anaungwa mkono na nchi maskini za Asia, Amerka kusini na Afrika. hii inaashiria nini?
Tukubalitu kwamba umaskini ni ugonjwa, ni upofu.Mkuu, kwa kuwa FIFA kuna utaratibu wa kulindana na vyama vya nchi na mashirikisho ya kanda. Sisi hatuungi mkono, ila Rais wa FA yetu ndio anaunga mkono na uamuzi wake ndio wetu!
Asia na Afrika wanamuunga mko lakini kombe hupitishiwa na Cocacola kulinusa tu.Anaungwa mkono kule gozi la ng'ombe linakopendwa,Marekani na mpira wapi na wapi bhana..
Licha ya kulitumbukiza shirikisho la Fifa kwenye kashfa ya rushwa. Blatter anaungwa mkono na nchi maskini za Asia, Amerka kusini na Afrika. hii inaashiria nini?
Tofauti, nchi tajiri za bara la Ulaya, Marekani pamoja na makampuni tajiri ya Cocacola na Adidas wamekaa mbali naye. Nao Viongozi wa nchi Tajiri km Uingereza, Marekana na Umoja wa Mataifa wanataka aondoke.
Kila kurahununuliwa kwa pesa nyingi. ukipiga mara moja umaskini unasahau. Huu ni mwanzo natutaanikiwa mengi mbele ya siku Mkuu. .Mkuu, kwa kuwa FIFA ........ Sisi hatuungi mkono, ila Rais wa FA yetu ndio anaunga mkono na uamuzi wake ndio wetu!
Hayo mataifa tajiri wanachotaka ni kujitajirisha kupitia FIFA na ni aina ya unyonyaji unaoendelezwa kwa nchi masikini! ukiangalia vipaji vya soccer asilimia 95% vinatoka inchi masikini lakini wanalazimishwa kuvifanyia kazi vipaji vyao katika nchi matajiri ili walipe kodi na hata kuzitangaza hizo nchi chache matajiri! jaribu tu kuangalia ikiwa uingereza kutakuwa hakuna hata mchezaji mmoja kutoka hizo nchi masikini hilo soccer litakuwa soccer au jezi tu! Blatter anaplan nzuri ya usawa katika mchezo huu sasa hawa mabepari hawataki kuona nchi masikini zinapata fursa ya ku handle shughuli za Soccer vizuri maana baada ya mafuta soccer ndio inafuata kwa kuingiza fedha!Licha ya kulitumbukiza shirikisho la Fifa kwenye kashfa ya rushwa. Blatter anaungwa mkono na nchi maskini za Asia, Amerka kusini na Afrika. hii inaashiria nini?
Tofauti, nchi tajiri za bara la Ulaya, Marekani pamoja na makampuni tajiri ya Cocacola na Adidas wamekaa mbali naye. Nao Viongozi wa nchi Tajiri km Uingereza, Marekana na Umoja wa Mataifa wanataka aondoke.